Bro sikupendelea nicheke ila sio sawa kuita Lobster ni samaki, bali ni kiumbe mmojawapo wa jamii za majini tena baharini au maji chumvi.Wajameni mnaendeleaje na maisha?
Kuna muuzaji mkubwa wa samaki aina ya lobsters anatafuta soko, natafuta contacts za viwanda na kampuni za samaki zinazonunua samaki hawa, au kama una taarifa zozote kuhusiana na soko la samaki hawa naomba msaada sana...
Natanguliza shukrani
Mwenye mzigo anapatikana wapi? Na, anaeza kuwasilisha tani ngapi kwa wiki?Wajameni mnaendeleaje na maisha?
Kuna muuzaji mkubwa wa samaki aina ya lobsters anatafuta soko, natafuta contacts za viwanda na kampuni za samaki zinazonunua samaki hawa, au kama una taarifa zozote kuhusiana na soko la samaki hawa naomba msaada sana...
Natanguliza shukrani
pweza jeeeWajameni mnaendeleaje na maisha?
Kuna muuzaji mkubwa wa samaki aina ya lobsters anatafuta soko, natafuta contacts za viwanda na kampuni za samaki zinazonunua samaki hawa, au kama una taarifa zozote kuhusiana na soko la samaki hawa naomba msaada sana...
Natanguliza shukrani
Watafute tanpesca?Wajameni mnaendeleaje na maisha?