Samaki aina ya Lobsters

Samaki aina ya Lobsters

spray

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
277
Reaction score
241
Wajameni mnaendeleaje na maisha?

Kuna muuzaji mkubwa wa samaki aina ya lobsters anatafuta soko, natafuta contacts za viwanda na kampuni za samaki zinazonunua samaki hawa, au kama una taarifa zozote kuhusiana na soko la samaki hawa naomba msaada sana...

Natanguliza shukrani
 
Bro sikupendelea nicheke ila sio sawa kuita Lobster ni samaki, bali ni kiumbe mmojawapo wa jamii za majini tena baharini au maji chumvi.
 
Wajameni mnaendeleaje na maisha?

Kuna muuzaji mkubwa wa samaki aina ya lobsters anatafuta soko, natafuta contacts za viwanda na kampuni za samaki zinazonunua samaki hawa, au kama una taarifa zozote kuhusiana na soko la samaki hawa naomba msaada sana...

Natanguliza shukrani
Mwenye mzigo anapatikana wapi? Na, anaeza kuwasilisha tani ngapi kwa wiki?
 
Wajameni mnaendeleaje na maisha?

Kuna muuzaji mkubwa wa samaki aina ya lobsters anatafuta soko, natafuta contacts za viwanda na kampuni za samaki zinazonunua samaki hawa, au kama una taarifa zozote kuhusiana na soko la samaki hawa naomba msaada sana...

Natanguliza shukrani
pweza jeee
 
Watafute tanpesca?
Watafute aqua?
Nenda pia msasani kwa nyerere muulizie smbdy Brian mtoto wa Jane goodle alikuwa ananua hizo product.... Ila sjui kama bado yupo au la
Akili ikitulia ntazidi kupa contacts

Ova
 
Lobster unauza kama upepooo tu
Mali hiyooo

Ova
 
Back
Top Bottom