spray
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 277
- 241
Wajameni mnaendeleaje na maisha?
Kuna muuzaji mkubwa wa samaki aina ya lobsters anatafuta soko, natafuta contacts za viwanda na kampuni za samaki zinazonunua samaki hawa, au kama una taarifa zozote kuhusiana na soko la samaki hawa naomba msaada sana...
Natanguliza shukrani