FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sangara walipandikizwa ziwa victoria na hadi leo wamezaliana wamekuwa wengi na wanavunwa hadi leo na kuingiza mapato kwa wavuvi na taifa.siku watakayo wapandikiza wanavunwa siku hiyo hiyo
Hahahahah, sasa si kule baharini tunachukua vile vifaranga vidogo kabisa, maana bahari yetu ya hindi kuna mameli huwa yanakuja usiku kwa siri na kuvua MaTUNA yenye thamani ya mabilioni na kusepa, hata mtukufu Rais analijua hili na alishalikemea.unakuta kifaranga kinauzwa mil 25.
Soko liko wapi? Weka bei mimi baharia niingie mzigoni..Kama kutakuwa na uwezekano serikali ifanye jitihada za kupanda vifaranga vya samaki Tuna ambae mmoja anaweza kuuzwa kwa hadi milioni 70, kama zoezi hili likifanikiwa basi tutaweza kuwauza nje na kuingiza mabilioni ya fedha za kigeni.
Hata ikibidi kumwaga viroba vya chumvi ziwani, itafutwe namna, maana kuna meli za kigeni huwa zinavamia bahari yetu ya hindi bila vibali na kuvua maTuna matani kwa matani na kutoroka nao, wanatuibia matrillioni kila mwaka, sasa dawa ni kuwavua wote na kuwapanda ziwani, tuone nani atakuja kuwaiba mule ziwaniSamaki wa maji chumvi apandwe Kwenye maji baridi?
Mkuu hutapata jibu hapa.huyo samak anayeuzwa mil 70 ana nini cha ziada? [emoji23][emoji23]
Mkuu hao Tuna kwa kiswahili ni jodari kama sikosei.Kuna sababu kubwa kwanini bei yake ni kubwa na kwanini hawako Tz
Nafikiri mtoa mada haongelei milion 70 ya kitanzaniahuyo samak anayeuzwa mil 70 ana nini cha ziada? [emoji23][emoji23]