Samaki aina ya TUNA anauzwa hadi milioni 70 kwa mmoja. Je, haiwezekani kupanda vifaranga ziwa Victoria?

Samaki aina ya TUNA anauzwa hadi milioni 70 kwa mmoja. Je, haiwezekani kupanda vifaranga ziwa Victoria?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Kama kutakuwa na uwezekano serikali ifanye jitihada za kupanda vifaranga vya samaki Tuna ambae mmoja anaweza kuuzwa kwa hadi milioni 70.

Kama zoezi hili likifanikiwa basi tutaweza kuwauza nje na kuingiza mabilioni ya fedha za kigeni.

93C0AAE9-8E4A-4415-8808-C7C418F29BF8.jpeg

Tuna ama Jodari
 
Kuna kipindi Cha televisheni kule National Geographic kinaitwa Wicked Tuna..kinahusu uvuvi wa Hawa samaki ila hawa wanavuliwa baharini..na wanavuliwa kwa msimu na kwa idadi maalum..ni wakubwa sana na wana stake safi Sana.
 
Samaki wa maji chumvi apandwe Kwenye maji baridi?
Hata ikibidi kumwaga viroba vya chumvi ziwani, itafutwe namna, maana kuna meli za kigeni huwa zinavamia bahari yetu ya hindi bila vibali na kuvua maTuna matani kwa matani na kutoroka nao, wanatuibia matrillioni kila mwaka, sasa dawa ni kuwavua wote na kuwapanda ziwani, tuone nani atakuja kuwaiba mule ziwani
 
Kuna sababu kubwa kwanini bei yake ni kubwa na kwanini hawako Tz
Mkuu hao Tuna kwa kiswahili ni jodari kama sikosei.
Tanzania wapo wengi sana lakini maji kina kirefu.
Kwenye meli iliyo kamatwa enzi za Magufuli Waziri wa Uvuvi walikuwa wengi kwenye meli tena wakubwa.
Soko la Kivukoni wapo jodari kila siku ila wengi ni wadogo.
 
Back
Top Bottom