Samaki aina ya TUNA anauzwa hadi milioni 70 kwa mmoja. Je, haiwezekani kupanda vifaranga ziwa Victoria?

Samaki aina ya TUNA anauzwa hadi milioni 70 kwa mmoja. Je, haiwezekani kupanda vifaranga ziwa Victoria?

Hivi yule faru Majaliwa aliacha shughuli zake zote na kuanza kumsaka mapori yote Tanzania ni bei gani thamani yake tusije tukajitafutia matatizo kwa kufuga samaki siku anaibiwa tuanze kusachiwa hadi kwenye boxer?
 
Hahahahahahaj
 
Kama kutakuwa na uwezekano serikali ifanye jitihada za kupanda vifaranga vya samaki Tuna ambae mmoja anaweza kuuzwa kwa hadi milioni 70.

Kama zoezi hili likifanikiwa basi tutaweza kuwauza nje na kuingiza mabilioni ya fedha za kigeni.

View attachment 1142659
Tuna ama Jodari
Unachanganya kuberi,bhangi,ugolo lazima uje na uzi kama huu. Huyu Tuna ndo million 70 ? Kwa nini mnapenda kutuchukuliA sisi Sote watoto.
 
Back
Top Bottom