FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #121
Naambiwa ni aina maalum ya Tuna, anaitwa bluefin tunaAnayeongelewa hapo hayupo Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naambiwa ni aina maalum ya Tuna, anaitwa bluefin tunaAnayeongelewa hapo hayupo Tanzania
Yes huyo ndo bei ghali japo dini yangu hairuhusu kumlaNaambiwa ni aina maalum ya Tuna, anaitwa bluefin tuna
Huyo analiwa mbichi kabisa wanaita sushiYes huyo ndo bei ghali japo dini yangu hairuhusu kumla
Khaaa...Nikajua ni aina ya Jiwe....
Ndio epo eehh? Au apo?
Apo na Tchuna usikosee tenaKhaaa...
Unataka nikosee eti eeh?
Hiyo Tchuna unaitamkaje vile?Apo na Tchuna usikosee tena
Hiyo Tchuna unaitamkaje vile?
Mwenyewe.Cheese wewe.....
Mwenyewe.
Hivi huyu samaki Tchuna ndiye kawafundisha kina dada kuchuna? Usikute anawachuna samaki wengine baharini
mawazo ya ganja. viroba vya chumvi sio? tembeza kidudeHata ikibidi kumwaga viroba vya chumvi ziwani, itafutwe namna, maana kuna meli za kigeni huwa zinavamia bahari yetu ya hindi bila vibali na kuvua maTuna matani kwa matani na kutoroka nao, wanatuibia matrillioni kila mwaka, sasa dawa ni kuwavua wote na kuwapanda ziwani, tuone nani atakuja kuwaiba mule ziwani
Fanya haraka basi ili nipate jibu.Sijajua kuchuna kukoje, nikishajifunza kupitia kwako nitakupa jibu....
Mazara yake wamekula na kumaliza species nyingine za samaki katika ziwaSangara walipandikizwa ziwa victoria na hadi leo wamezaliana wamekuwa wengi na wanavunwa hadi leo na kuingiza mapato kwa wavuvi na taifa.
Samaki wasio na soko duniani ikiwemo ZanzibarKama kutakuwa na uwezekano serikali ifanye jitihada za kupanda vifaranga vya samaki Tuna ambae mmoja anaweza kuuzwa kwa hadi milioni 70.
Kama zoezi hili likifanikiwa basi tutaweza kuwauza nje na kuingiza mabilioni ya fedha za kigeni.
View attachment 1142659
Tuna ama Jodari
Mkuu wala si watamu nyama yao nyeusi. Ukienda Zanzibar wapo kibao. Samaki mtamu na mwenye bei ni redsnapperKuna kipindi Cha televisheni kule National Geographic kinaitwa Wicked Tuna..kinahusu uvuvi wa Hawa samaki ila hawa wanavuliwa baharini..na wanavuliwa kwa msimu na kwa idadi maalum..ni wakubwa sana na wana stake safi Sana.
Atakuwa anaongeza nguvu za kiume mara dufu!!! hahhahhahuyo samak anayeuzwa mil 70 ana nini cha ziada? [emoji23][emoji23]
Mkuu Sangara gani wa buku jero huyo!!Soma uzi unavyosema. Tunaongelea TUNA.
Sangara mkuubwa buku jero.
Vipi kijana.
Umepiga Mataptap au?
supu yake ni tamu sana.Supu ya Kichwa.Kama kutakuwa na uwezekano serikali ifanye jitihada za kupanda vifaranga vya samaki Tuna ambae mmoja anaweza kuuzwa kwa hadi milioni 70.
Kama zoezi hili likifanikiwa basi tutaweza kuwauza nje na kuingiza mabilioni ya fedha za kigeni.
View attachment 1142659
Tuna ama Jodari