Anataka kunipa mzuka nrudi Mafia nkavueee [emoji23][emoji23][emoji23]Jodari anauzwa Milioni 70? Wa uzito gani? Mbona wanauzwa elfu 35 wa size ya kilo 3?
Ndy!huko nlikuwa nawavua jongoo bahariNikisikia ndipo kuna mazalia makubwa ya papa. Ni ule uelekeo wa kwenda thanda Island
Dollar 3,000 Ndio Milioni SabiniKule Japan bakuli moja la samaki aina ya Tuna hugharimu hadi dollar 3,000
Samaki wa kilo 400 anatoa bakuli moja?Dollar 3,000 Ndio Milioni Sabini
HahahahahahajHivi yule faru Majaliwa aliacha shughuli zake zote na kuanza kumsaka mapori yote Tanzania ni bei gani thamani yake tusije tukajitafutia matatizo kwa kufuga samaki siku anaibiwa tuanze kusachiwa hadi kwenye boxer?
Labda alisikia kwenye story za vijiweni zile za kubuy time mda wa kula ufike.Anataka kunipa mzuka nrudi Mafia nkavueee [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Unachanganya kuberi,bhangi,ugolo lazima uje na uzi kama huu. Huyu Tuna ndo million 70 ? Kwa nini mnapenda kutuchukuliA sisi Sote watoto.Kama kutakuwa na uwezekano serikali ifanye jitihada za kupanda vifaranga vya samaki Tuna ambae mmoja anaweza kuuzwa kwa hadi milioni 70.
Kama zoezi hili likifanikiwa basi tutaweza kuwauza nje na kuingiza mabilioni ya fedha za kigeni.
View attachment 1142659
Tuna ama Jodari