Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,042
- 1,917
Jamaa kamba nyingi saaana wew.e
Jodari wapo weeeengi saaaana braza... Hakuna iyo bei.
Jodari wapo weeeengi saaaana braza... Hakuna iyo bei.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule Japan bakuli moja la samaki aina ya Tuna hugharimu hadi dollar 3,000Wapi huko wananunua Tuna kwa 70 Million niwe mvuvi!
Mbona uku nlikuwa nanunua kilo 9000 tu
Wanatodautiana kaka,kuna tuna alishawai kununuliwa dollar $3.1 million japanJamaa kamba nyingi saaana wew.e
Jodari wapo weeeengi saaaana braza... Hakuna iyo bei.
Jamaa alitishaNgoja nimwite yule mtaalamu wa kupima samaki kwa rula aje atoe ushauri.
hapana mkuu hao tuna fish wametofautiana kuna aina nyingi il ablue tuna wana bei sana na ni watamu sana huko japan alishawahi mmoja kuuzwa kwa dollar milioni 3 za kimarekani...sasa kwenye supermarkets unaweza kuapata tuna wa kwenye kopo yaani canned kwa bei ndogo tu kuna miaka fulani nikiwa Uk nilikuwa nafanya kazi kama kitchen potter my favorite food jikoni ilkuwa ni tuna fish na jacket potato kakiazi ulaya kamoja baked na tuna fish vijiko viwili iliyochanganywa na mayonaise ilikuwa paundi 8 miaka hiyotangu nirudi bongo sijawahi kula sababu siendagi 5 stars za hapa ila najua itakuwa expensiveNafikiri mtoa mada haongelei milion 70 ya kitanzania


Wapo wengi bahari ya hindi, hata ukienda soko la ferry unapata kwa bei ya kawaida, cyo ya ulaya. Labda huko ulaya wazungu waligundua madini adimu ktk tuna.Kuna sababu kubwa kwanini bei yake ni kubwa na kwanini hawako Tz
Tuna mkubwa kabisa anaweza kuwa na uzito kiasi ganihapana mkuu hao tuna fish wametofautiana kuna aina nyingi il ablue tuna wana bei sana na ni watamu sana huko japan alishawahi mmoja kuuzwa kwa dollar milioni 3 za kimarekani...sasa kwenye supermarkets unaweza kuapata tuna wa kwenye kopo yaani canned kwa bei ndogo tu kuna miaka fulani nikiwa Uk nilikuwa nafanya kazi kama kitchen potter my favorite food jikoni ilkuwa ni tuna fish na jacket potato kakiazi ulaya kamoja baked na tuna fish vijiko viwili iliyochanganywa na mayonaise ilikuwa paundi 8 miaka hiyotangu nirudi bongo sijawahi kula sababu siendagi 5 stars za hapa ila najua itakuwa expensive
View attachment 1142706View attachment 1142716View attachment 1142724View attachment 1142706View attachment 1142716View attachment 1142724
wanatofautiana aina na utamu na wenzetu wanawasaga ukichanganya na mayonaise ukatengeneza sandwich ni balaa utamu wake au kiazi ulaya ukakibake bila kutoa maganda halafu ukile cha moto umekipasua katikati ukachanganya nyama iliyosagwa ya tuna fish ni balaaWapo wengi bahari ya hindi, hata ukienda soko la ferry unapata kwa bei ya kawaida, cyo ya ulaya. Labda huko ulaya wazungu waligundua madini adimu ktk tuna.
sijajua kwa kweli ila kwenye maji marefu kule wapo wengi kuna ma meli yenye viwanda vya kuchakata huko ndani huwa yanakuja kuwachukua na haswa ukichukulia hatuna rada wala patrol ya kueleweka wanajichotea tu sisi tunahangaika na vitambulisho vya machingaTuna mkubwa kabisa anaweza kuwa na uzito kiasi gani
Hata ikibidi kumwaga viroba vya chumvi ziwani, itafutwe namna, maana kuna meli za kigeni huwa zinavamia bahari yetu ya hindi bila vibali na kuvua maTuna matani kwa matani na kutoroka nao, wanatuibia matrillioni kila mwaka, sasa dawa ni kuwavua wote na kuwapanda ziwani, tuone nani atakuja kuwaiba mule ziwani
Kaka ulikuwa unaangaika na masufuria na ile mi mashine mikubwa mtu anaingia mzima mzima hah ha!. Ndo maisha.wanatofautiana aina na utamu na wenzetu wanawasaga ukichanganya na mayonaise ukatengeneza sandwich ni balaa utamu wake au kiazi ulaya ukakibake bila kutoa maganda halafu ukile cha moto umekipasua katikati ukachanganya nyama iliyosagwa ya tuna fish ni balaa
Samahani Mkuu hivi hivyo viatu vyako vya Samaki vitamtosha huyu Samaki Tuna? 😎Picha za hao samaki zinauzwa bei gani ili tuchange tuweke hapa kwenye uzi.
aisee acha tu kabla ya vyombo kuingia kwenye dish washing machine kila dakika chef anakuja kukagua kama maji ya ku soak kwenye sink ni ya moto sasa ole wako akute ni ya baridi...dah ila nilkuwa naipenda sababu ya free food ile life ilikuwa tight sanaKaka ulikuwa unaangaika na masufuria na ile mi mashine mikubwa mtu anaingia mzima mzima hah ha!. Ndo maisha.
We unazungumzia'albacore tuna' hawa ni wadogo na wanapatika ki rahisi sana ndo maana unawaina kwenye makopo.
Lakin wale wakubwa kama Atlantic blue fin Tuna ni habari nyingine,wale sana kwenye sushi na makorokocho yao mengine.