Andika na kukamilisha uzi ukae kibiashara:
Aina ya samaki
Bei ya samaki
Location ya ofisi,
Sato na Sangara bei sawa!?!?
Sasa wewe unachanganya mambo, zaidi ya kilo 10 unaletewa bure wapi!?, mtu akinunua kilo 11 kama upo Ubungo utampelekea kama yupo Mbagala!?,akihitaji Sato hata kilo 2 kama hazijaisha utampelekea popote!?, weka maelezo ya kutosha kupunguza maswali mtu akikupigia simu.
Biashara ni akili, tulia uandike vizuri.