Samaki gani wa baharini (maji chumvi ) ni mzuri kwa supu......

Samaki gani wa baharini (maji chumvi ) ni mzuri kwa supu......

Nimestaajabishwa kusoma michango yote kabla ya huu bila kumuona chewa, mpaka nimehisi labda wachangiaji waliotangulia si wenyeji wa mwambao, kwa sisi wenyeji wa pwani Ukiwa na pesa basi chewa na jodari haswaaa ndio samaki wa supu hao wengine ni kukosa pesa tu.
weka picha ya chewa na jodari
 
Miye kilanikienda kula mchemsho wa samaki nauliza samaki gani huyu naambiwa chewa. Mnarani Mtwara Enzi nzile.
 
Nimestaajabishwa kusoma michango yote kabla ya huu bila kumuona chewa, mpaka nimehisi labda wachangiaji waliotangulia si wenyeji wa mwambao, kwa sisi wenyeji wa pwani Ukiwa na pesa basi chewa na jodari haswaaa ndio samaki wa supu hao wengine ni kukosa pesa tu.
Mie samaki chewa hapana. Sijamjua ladha yake lkn ule muonekano wake tu nimeukataa. Chewa pamoja na mkunga (eel)
 
Aksanteni sana kwa michango yenu nitajaribu samaki hawa watatu chewa, kolekole na jodari, maana naona ndio wametajwa sana na wadau.
 
Wataalam wa samaki wa baharini, naomba kujua ni samaki gani wa baharini ni mzuri kwa kupika supu..

Aksante.
IMG-20250820-WA0006.jpg

IMG-20250820-WA0007.jpg

Wapo powa sana Hawa Mimi Huwa najilia supu walau wawili nikiwa na mood asubuh.
 
weka picha ya chewa na jodari
Huyo mwenye madoa doa ndie chewa mkuu ana mafuta mengi mzuri kwa supu, na huyo mwingine ndie jodari ama Tuna ana steak nyingi pia hutumika kwa fillet, ukimpata wa buluu ni ghari sana huku ughaibuni hupatikana kwenye migahawa ya luxury.

Ushapata kumsikia mbuzi bahari na bunju (maziko saa sita)??? 😅
 
Attachments

  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    35.5 KB · Views: 24
  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    62.4 KB · Views: 26
Kibua ndio mwenyewe mkuu....
Jodari watu wengi ndio wanapenda kwa sbb ya steki hana miiba mingi ila me naona anakuwa hana ladha kwa sbb ya ile minofu yake.
Kibua anakolea hasa viungo na ndimu. Kibua na dagaa pia supu yake ni healthy
Hadi dagaa nao wana supu? Kweli sio poa.

Kuna sehemu niliendaga nikakuta supu ya tembele nilishangaa sana.
 
Back
Top Bottom