Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Mie napenda sana supu za mboga mboga hasa mchicha.Hadi dagaa nao wana supu? Kweli sio poa.
Kuna sehemu niliendaga nikakuta supu ya tembele nilishangaa sana.
Sasa huwa napika supu ya kibua au dagaa naweka na huo mchicha na nyanya na ndimu kdg 😋
Me vyakula nnavyokula utashangaa 🤣