nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,088
- 12,837
weka picha ya chewa na jodariNimestaajabishwa kusoma michango yote kabla ya huu bila kumuona chewa, mpaka nimehisi labda wachangiaji waliotangulia si wenyeji wa mwambao, kwa sisi wenyeji wa pwani Ukiwa na pesa basi chewa na jodari haswaaa ndio samaki wa supu hao wengine ni kukosa pesa tu.
Kama nakuona mkunazi SamakiDagaa tonge kwa tonge au dagaa la kuosha. Ukikosa hao basi hata vibua
Omba ufike ata dar utakula sana tuDuh, kweli sijawahi kula samaki...
Samaki wote waliotajwa, nimewahi kula kamongo na sato tu...
Miye kilanikienda kula mchemsho wa samaki nauliza samaki gani huyu naambiwa chewa. Mnarani Mtwara Enzi nzile.Nimestaajabishwa kusoma michango yote kabla ya huu bila kumuona chewa, mpaka nimehisi labda wachangiaji waliotangulia si wenyeji wa mwambao, kwa sisi wenyeji wa pwani Ukiwa na pesa basi chewa na jodari haswaaa ndio samaki wa supu hao wengine ni kukosa pesa tu.
Kuandika huku kunasadifu upungufu wa meno mdomoni mwako, itakuwa huna meno ya mbeleMiye kilanikienda kula mchemsho wa samaki nauliza samaki gani huyu naambiwa chewa. Mnarani Mtwara Enzi nzile.
Kwa mtu wa bara sishangai, bahari ina samaki wengi sana mkuu.Duh, kweli sijawahi kula samaki...
Samaki wote waliotajwa, nimewahi kula kamongo na sato tu...
ngoja nivune miwa...Omba ufike ata dar utakula sana tu
Si unanijua yanini kunitangazia km mimi kibogoyo, haya furahi watu kujua sina meno alahKuandika huku kunasadifu upungufu wa meno mdomoni mwako, itakuwa huna meno ya mbele
Kibua ndio mwenyewe mkuu....Kibua supu inalika? Tangu juz natamani supu ya samaki
Mie samaki chewa hapana. Sijamjua ladha yake lkn ule muonekano wake tu nimeukataa. Chewa pamoja na mkunga (eel)Nimestaajabishwa kusoma michango yote kabla ya huu bila kumuona chewa, mpaka nimehisi labda wachangiaji waliotangulia si wenyeji wa mwambao, kwa sisi wenyeji wa pwani Ukiwa na pesa basi chewa na jodari haswaaa ndio samaki wa supu hao wengine ni kukosa pesa tu.
Wataalam wa samaki wa baharini, naomba kujua ni samaki gani wa baharini ni mzuri kwa kupika supu..
Aksante.
Kibua the cheapestKibua
Huyo mwenye madoa doa ndie chewa mkuu ana mafuta mengi mzuri kwa supu, na huyo mwingine ndie jodari ama Tuna ana steak nyingi pia hutumika kwa fillet, ukimpata wa buluu ni ghari sana huku ughaibuni hupatikana kwenye migahawa ya luxury.weka picha ya chewa na jodari
Hadi dagaa nao wana supu? Kweli sio poa.Kibua ndio mwenyewe mkuu....
Jodari watu wengi ndio wanapenda kwa sbb ya steki hana miiba mingi ila me naona anakuwa hana ladha kwa sbb ya ile minofu yake.
Kibua anakolea hasa viungo na ndimu. Kibua na dagaa pia supu yake ni healthy
Naam. Wana supu na wana ladha safi kabisaHadi dagaa nao wana supu? Kweli sio poa.
Kuna sehemu niliendaga nikakuta supu ya tembele nilishangaa sana.
Cheapest wapi? Zamani hioKibua the cheapest