Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Mie napenda sana supu za mboga mboga hasa mchicha.Hadi dagaa nao wana supu? Kweli sio poa.
Kuna sehemu niliendaga nikakuta supu ya tembele nilishangaa sana.
Dagaa wana supu mkuu ( supu yake inaongeza man*** kwa mwanaume in voice ya watu wa pwani)Hadi dagaa nao wana supu? Kweli sio poa.
Kuna sehemu niliendaga nikakuta supu ya tembele nilishangaa sana.
Pweza na Ngisi hao ndiyo samaki was supuWataalam wa samaki wa baharini, naomba kujua ni samaki gani wa baharini ni mzuri kwa kupika supu..
Aksante.
Exactly π― huwenda ajui kitu huyu anasema kibua cheapestCheapest wapi? Zamani hio
Saivi vibua wanne tu elfu 10....
Sijajua huko ulipo lakini