Afro-Arabica
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 1,107
- 492
Yaa Sheikha !! Samaki wakupaka hakuna mbadala !
Mashkurra....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaa Sheikha !! Samaki wakupaka hakuna mbadala !
Yaa Sheikha !! Samaki wakupaka hakuna mbadala !
Mashkurra....
Hawa samaki nawaonaga tu pale nyerere Road Mwanza, ile rangi rangi dah huwa siipend kbs
Wen Wen !! Binti Nnas nilikwenda Umrah Makkah kupata radhi za Moula el-Karim... AMINa Samahani sijakuaga lakini nilikuombea Dua' hizo kwenye al-Kaaba shariff.. niliwa miss kweli.A'fuan habibty...hujambo lakin? Ulikua wapi?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Wen Wen !! Binti Nnas nilikwenda Umrah Makkah kupata radhi za Moula el-Karim... AMINa Samahani sijakuaga lakini nilikuombea Dua' hizo kwenye al-Kaaba shariff.. niliwa miss kweli.
Long live.
Ni pm wapi unapatikana nije nipate menuuuu hioooo
Umenitamanishaaaaaaa.
Allah yibarifiki..Maashallah umrah yako iwe maqbool..
i love those hints
Asante kwa pishi ,nakukubali kwenye mambo haya,big upMahitaji
1)Samaki mkubwa...
2)nyanya 2..
3)kitunguu thomu 1 teaspoon..
4)tangawizi 1 teaspoon
5)bizari ya njano kiasi
6)bizari ya pilau 1 teaspoon...
7)ndimu 2...
8)kitunguu maji 1..
9)chumvi kiasi
10)pilipili manga 1 teaspoon
11)pilipili mbuzi 1
12)tomato sauce
13)tui la nazi 1-1.5 kikombe...
Namna ya kutaarisha samaki
1)safisha vizuri samaki wako na umeweke alama kwa kisu ili viungo viingie ndani ya samaki..muache akolee viungo for 30minutes
2)weka samaki kwenye trey na umuunge kwa pilipili manga,chumvi,ndimu 1,bizari ya pilau,kitunguu saumu na tangawizi...
3)muweke kwenye oven moto kiasi ili awive vizuri....akiwiva upande mmoja mgeuze upande wa pili...
4)ukishawiva pande zote mbili weka samaki kwenye sahani.....
Namna ya kutaarisha sauce
1)saga nyanya,pilipili mbuzi na kitunguu maji weka maji kidogo sana au unaweza tumia tui badala ya maji..
2)weka tui jikoni,mimina mchanganyiko wako uliosaga,weka na bizari...koroga na wacha vichemke vizuri
3)weka tomato paste kiasi ili sauce iwe nzito nzito...
4)weka ndimu....acha ichemke kwa dakika 5 then epua
5)mimina sauce yako juu ya samaki ulimtaarisha kabla
Samaki wa kupaka (grilled chicken with coconut sauce) tayari kwa kuliwa...