Samaki wa kupaka (grilled fish with coconut sauce)

Samaki wa kupaka (grilled fish with coconut sauce)

Hiilazima nimpikie kiwatengu

Sent from my Z970 using JamiiForums mobile app
 
Napenda sana samaki ila sio wa michuzi eti...... Supu ya samaki pia mulemuleeee

Cc Smart911 [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Shughuli ya huyu samaki wa kupaka ni kumgeuza wakati wa kuchoma yaani anagandia kwenye kifaa cha kuchoma sijui kuna mbinu gani ya kuepuka hilo

Cc. farkhina
 
Shughuli ya huyu samaki wa kupaka ni kumgeuza wakati wa kuchoma yaani anagandia kwenye kifaa cha kuchoma sijui kuna mbinu gani ya kuepuka hilo

Cc. farkhina

Paka mafuta au samli kwenye kifaa cha kuchomea kabla hujamuweka samaki
 
Back
Top Bottom