Samaki wa kupaka (grilled fish with coconut sauce)

Hawa samaki nawaonaga tu pale nyerere Road Mwanza, ile rangi rangi dah huwa siipend kbs
 
A'fuan habibty...hujambo lakin? Ulikua wapi?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Wen Wen !! Binti Nnas nilikwenda Umrah Makkah kupata radhi za Moula el-Karim... AMINa Samahani sijakuaga lakini nilikuombea Dua' hizo kwenye al-Kaaba shariff.. niliwa miss kweli.
Long live.
 
Ni pm wapi unapatikana nije nipate menuuuu hioooo
Umenitamanishaaaaaaa.
 
Wen Wen !! Binti Nnas nilikwenda Umrah Makkah kupata radhi za Moula el-Karim... AMINa Samahani sijakuaga lakini nilikuombea Dua' hizo kwenye al-Kaaba shariff.. niliwa miss kweli.
Long live.

Maashallah umrah yako iwe maqbool..
 
da upate na kitu wali nazi ni shidaaaa:couch2:
 
My favourite recipe from farkhina. Thank you sana.
Ila umetutelekeza
 
Last edited by a moderator:
farkhina huyo samaki nikitaka nimchome kwenye jiko la mkaa nafanyaje ili asing'ang'anie kwenye wavu?
 
Asante kwa pishi ,nakukubali kwenye mambo haya,big up
 
farkhina naomba sana uanzishe YOU-TUBE chanel kama yule dada wa Aroma of Zanzibar?
Naamini wadau wa humu tutakusaidia kuitangaza na unaweza ukaenda hata kimataifa.
Tunataka tuone hatua kwa hatua ndiyo inaongeza ujuzi asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…