shansarie JF-Expert Member Joined May 25, 2013 Posts 5,690 Reaction score 3,367 Jul 11, 2017 #81 Hiilazima nimpikie kiwatengu Sent from my Z970 using JamiiForums mobile app
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Jul 11, 2017 #82 Napenda sana samaki ila sio wa michuzi eti...... Supu ya samaki pia mulemuleeee Cc Smart911 [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Napenda sana samaki ila sio wa michuzi eti...... Supu ya samaki pia mulemuleeee Cc Smart911 [emoji106] [emoji106] [emoji106]
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,113 Reaction score 8,610 Aug 8, 2017 #83 Shughuli ya huyu samaki wa kupaka ni kumgeuza wakati wa kuchoma yaani anagandia kwenye kifaa cha kuchoma sijui kuna mbinu gani ya kuepuka hilo Cc. farkhina
Shughuli ya huyu samaki wa kupaka ni kumgeuza wakati wa kuchoma yaani anagandia kwenye kifaa cha kuchoma sijui kuna mbinu gani ya kuepuka hilo Cc. farkhina
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,917 Aug 8, 2017 Thread starter #84 kijani11 said: Shughuli ya huyu samaki wa kupaka ni kumgeuza wakati wa kuchoma yaani anagandia kwenye kifaa cha kuchoma sijui kuna mbinu gani ya kuepuka hilo Cc. farkhina Click to expand... Paka mafuta au samli kwenye kifaa cha kuchomea kabla hujamuweka samaki
kijani11 said: Shughuli ya huyu samaki wa kupaka ni kumgeuza wakati wa kuchoma yaani anagandia kwenye kifaa cha kuchoma sijui kuna mbinu gani ya kuepuka hilo Cc. farkhina Click to expand... Paka mafuta au samli kwenye kifaa cha kuchomea kabla hujamuweka samaki
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,113 Reaction score 8,610 Aug 9, 2017 #85 farkhina said: Paka mafuta au samli kwenye kifaa cha kuchomea kabla hujamuweka samaki Click to expand... Asante safari ijayo ntafanya hivyo
farkhina said: Paka mafuta au samli kwenye kifaa cha kuchomea kabla hujamuweka samaki Click to expand... Asante safari ijayo ntafanya hivyo
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,917 Aug 9, 2017 Thread starter #86 kijani11 said: Asante safari ijayo ntafanya hivyo Click to expand... Kila la kheir karibu sana