pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Serikali hii hii ndiyo iliyokamata hii meli mwaka 2014Ile ilikua ni serikali ya kushika tu
Yaani inashika watu pamoja na vitu
Huu ni uzembe wa hawa wakurupukaji
Walipe fidia tu kwani hamna namna!
Magufuli aliipenda nchi yake na alikuwa mzalendo kwelikweli.
Vizazi na vizazi vitamuenzi kwa kuipenda Tanzania kwa dhati na kuitakia mafanikio ya kweli - kupata uhuru wa kweli kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni, na katika nyanja nyingine za maisha.
Apumzike kwa amani mbinguni.
Moja ya sababu ni kutoboka na kuanza kuingiza maji ndani endapo kutakua hamna service na ukaguzi mara kwa mara.Mi naomba kufahamishwa sababu ya meli kuzama ikiwa imeegeshwa
Sasa mtu anaiba hadi rambirambi kwa nini tusiipinge nchi yetu.Hii nchi ina maruki wengi mliokalia kuipinga nchi yenu hata mtu afanye kitu kizur kwa ajili ya nchi!!
Mko upande wa wakoloni siku zote!! Ndyo kilichotokea enzi za nyuma nchi ikaingiliwa na wakoloni
Hiyo chuki imekusaidia nini?Wewe karoho chako kamekufikisha wapi?? Kila MTU avune alichopanda shwain!!
Alikuwa kiboko ya mabeberu na vibaraka wake kama nyie...alikuwa mzalendo uchwara.
..amedhulumu na kutesa wengi waliokuwa wakimkosoa.
Ukamate mali yako mikononi mwa wezi halafu uwe mhujumu uchumi tena? Kumbuka hata sababu ya serikali kushindwa kesi ni kuwa hati ya mashtaka ilikosewa. Na hiyo hati iliandikwa na aliyekamata mali mkononi mwa wezi? Hii ni Tanzania bhaana.Kwanini aliyeikamata asipewe kesi ya uhujumu uchumi hata kama hayupo ahukumiwe alizidi kukurupuka naubabe uchwara
Alikuwa kiboko ya mabeberu na vibaraka wake kama nyie.
Mwendazake alitukosea sanaWe acha chuki zako
Hiyo meli ilikamatwa kwa mujibu wa sheria na kushikiliwa kwake ni kwa kufuata utaratibu, na ulipoona Serikali imeshinda ni kwa mahakama hizo hizo, na kama hukumu imetenguliwa ni kwa kupitia mahakama hizo hizo.
Unapo attack watu personally inakuwa kama chuki dhidi ya watu hao.
Kalipeni fidia sasaMagufuli aliipenda nchi yake na alikuwa mzalendo kwelikweli.
Vizazi na vizazi vitamuenzi kwa kuipenda Tanzania kwa dhati na kuitakia mafanikio ya kweli - kupata uhuru wa kweli kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni, na katika nyanja nyingine za maisha.
Apumzike kwa amani mbinguni.
Si ndio wale mawakili uchwala wa ccm wanapelekaga ushahidi dhaifu ili wapate 20%Naona Mawakili wetu Wasomi wameshanusa harufu ya mnuso wa fidia! Siyo kwa kupambana huko dhidi ya nchi yao, huku msababishi wa hayo madudu yote akiwa ameshaimaliza tayari safari yake hapa duniani.
Naona Mawakili wetu Wasomi wameshanusa harufu ya mnuso wa fidia! Siyo kwa kupambana huko dhidi ya nchi yao, huku msababishi wa hayo madudu yote akiwa ameshaimaliza tayari safari yake hapa duniani.
Usiongee kama umekatwa kichwa.
Hiyo meli ilikamatwa kwenye EEZ ya Tanzania ikivua bila kuwa na leseni kwa mujibu wa Sheria ya masuala ya Uvuvi.
Hiyo ilikuwa ni 2009 kama una chuki na hayati Magufuli jitahidi kumuomba Mungu akupunguzie chuki, pamoja na mapungufu yake kama mwanadamu bado Magufuli alikuwa mpambanaji na mpenda nchi yake.
Huenda imetoboka na kutu baada ya kukaa mda mrefu sehemu moja,ngoja waje wahusika watuambie vizuri.Mi naomba kufahamishwa sababu ya meli kuzama ikiwa imeegeshwa
ingekuwa kweli walikuwa kwenye maji ya Tanzania wasingeshinda kesi kiulaini hivyo.Meli ya samak yy,nyumba yy kweli bongo baht mbaya
Sini vihereher vyao lakini, tatizo mnapenda kufatilia fatilia watu sana nyie!!! Wengine hawafigilii shobo!..alikuwa mzalendo uchwara.
..amedhulumu na kutesa wengi waliokuwa wakimkosoa.
Yule ana phd ya kuitia nchi yetu hasara tuzo anachukuaKwanini aliyeikamata asipewe kesi ya uhujumu uchumi hata kama hayupo ahukumiwe alizidi kukurupuka naubabe uchwara
..alikuwa mzalendo uchwara.
..amedhulumu na kutesa wengi waliokuwa wakimkosoa.