Samaki wa Magufuli

Samaki wa Magufuli

Magufuli aliipenda nchi yake na alikuwa mzalendo kwelikweli.

Vizazi na vizazi vitamuenzi kwa kuipenda Tanzania kwa dhati na kuitakia mafanikio ya kweli - kupata uhuru wa kweli kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni, na katika nyanja nyingine za maisha.

Apumzike kwa amani mbinguni.

..alikuwa mzalendo uchwara.

..amedhulumu na kutesa wengi waliokuwa wakimkosoa.
 
Mi naomba kufahamishwa sababu ya meli kuzama ikiwa imeegeshwa
Moja ya sababu ni kutoboka na kuanza kuingiza maji ndani endapo kutakua hamna service na ukaguzi mara kwa mara.
 
Hii nchi ina maruki wengi mliokalia kuipinga nchi yenu hata mtu afanye kitu kizur kwa ajili ya nchi!!

Mko upande wa wakoloni siku zote!! Ndyo kilichotokea enzi za nyuma nchi ikaingiliwa na wakoloni
Sasa mtu anaiba hadi rambirambi kwa nini tusiipinge nchi yetu.

Ila tunafarijika kaondoka na harudi tenaaaaaaaaaa
 
Kwanini aliyeikamata asipewe kesi ya uhujumu uchumi hata kama hayupo ahukumiwe alizidi kukurupuka naubabe uchwara
Ukamate mali yako mikononi mwa wezi halafu uwe mhujumu uchumi tena? Kumbuka hata sababu ya serikali kushindwa kesi ni kuwa hati ya mashtaka ilikosewa. Na hiyo hati iliandikwa na aliyekamata mali mkononi mwa wezi? Hii ni Tanzania bhaana.
 
Alikuwa kiboko ya mabeberu na vibaraka wake kama nyie.

..alikuwa na kidumbwasha cha kusaidia mapigo ya moyo kilichotengenezwa na mabeberu.

..alikuwa analindwa na askari wanaotumia silaha zilizoagizwa toka nchi za mabeberu.

..alikuwa anatumia usafiri wa magari yaliyotengenezwa na makampuni ya mabeberu.

..alinunua madege yenye thamani ya matrilioni ya fedha toka kwa makampuni ya mabeberu.

..Je, huyo siyo kibaraka wa mabeberu?
 
We acha chuki zako
Hiyo meli ilikamatwa kwa mujibu wa sheria na kushikiliwa kwake ni kwa kufuata utaratibu, na ulipoona Serikali imeshinda ni kwa mahakama hizo hizo, na kama hukumu imetenguliwa ni kwa kupitia mahakama hizo hizo.
Unapo attack watu personally inakuwa kama chuki dhidi ya watu hao.
Mwendazake alitukosea sana
 
Magufuli aliipenda nchi yake na alikuwa mzalendo kwelikweli.

Vizazi na vizazi vitamuenzi kwa kuipenda Tanzania kwa dhati na kuitakia mafanikio ya kweli - kupata uhuru wa kweli kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni, na katika nyanja nyingine za maisha.

Apumzike kwa amani mbinguni.
Kalipeni fidia sasa
 
Naona Mawakili wetu Wasomi wameshanusa harufu ya mnuso wa fidia! Siyo kwa kupambana huko dhidi ya nchi yao, huku msababishi wa hayo madudu yote akiwa ameshaimaliza tayari safari yake hapa duniani.
Si ndio wale mawakili uchwala wa ccm wanapelekaga ushahidi dhaifu ili wapate 20%
 
Meli ya samak yy,nyumba yy kweli bongo baht mbaya
Usiongee kama umekatwa kichwa.
Hiyo meli ilikamatwa kwenye EEZ ya Tanzania ikivua bila kuwa na leseni kwa mujibu wa Sheria ya masuala ya Uvuvi.

Hiyo ilikuwa ni 2009 kama una chuki na hayati Magufuli jitahidi kumuomba Mungu akupunguzie chuki, pamoja na mapungufu yake kama mwanadamu bado Magufuli alikuwa mpambanaji na mpenda nchi yake.
 
..alikuwa mzalendo uchwara.

..amedhulumu na kutesa wengi waliokuwa wakimkosoa.
Sini vihereher vyao lakini, tatizo mnapenda kufatilia fatilia watu sana nyie!!! Wengine hawafigilii shobo!
 
Back
Top Bottom