Samaki wazuri wa kukaanga

Ni species tofauti,.lkn pia Kuna kamongo hapo
 
Hawa walichunwa ngozi wanaitwa mshekele ,wapo fresh na kubanikwa kama hivyo wanapatikana kwenye mabwawa na mito inayoingia ziwa tanganyika ,sokoni Kagera nyakati za jioni
 
Hawa walichunwa ngozi wanaitwa mshekele ,wapo fresh na kubanikwa kama hivyo wanapatikana kwenye mabwawa na mito inayoingia ziwa tanganyika ,sokoni Kagera nyakati za jioni
Kweli kabsa πŸ˜” nashangaa watu wanasema Cobra
 
Wewe haujalishwa nyoka waliokatwa mikia wewe hawa?πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…