Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Amekuja mgeni amebuni biashara nzuri na kuita SAMAKI SAMAKI.
Watanzania kwa kukosa ubunifu wakaenda kuiga mara DagaaDagaa na wengine KukuKuku!!
Tatizo wengi walioiga hawajui biashara siyo jina pekee bali ubora wa huduma.
Ukiiga ongeza ubunifu kidogo. Mchina bingwa wa kuiga. Tofauti yake na mtanzania yeye anajua nafasi ya bidhaa yake kiubora hivyo anashusha bei na kuongeza features au amenities nyingi za ziada kulinganisha na kile alichoiga.
Ndugu yangu kafungua biashara sehemu wakajitokeza wengine wawili kufungua biashara mfano wa ileile wakati pale tuliangalia mzunguko wa wateja. Mimi ndiyo nilimshauri hiyo biashara. Hivyo niliangalia vigezo vingi hadi kufikia uhamuzi wa kufungua aina hiyo ya biashara eneo husika.
Kibaya zaidi wanakuja kulazimisha wote wauze bei moja.
Wao wanauza bei kubwa sana. Hawana jicho la kutambua bidhaa zinazo pendwa eneo husika. Kila siku wanapenda kuchungulia kaleta nini wanaenda kuleta na wao. Wakikosea wanarudi kumsumbua waende wote pamoja kuagiza mzigo ili wayajue machimbo.