SamakiSamaki, DagaaDagaa, KukuKuku: Watanzania siyo wabunifu wa biashara

SamakiSamaki, DagaaDagaa, KukuKuku: Watanzania siyo wabunifu wa biashara

Kwani nielimisheni samakisamaki na kukukuku mtu si mmoja kalito ama?
kimsingi biashara nyingi zinafanana kwanini na unapotaka kufika/lengo ndo inatofautisha
Kuhusu kufanana upo sahihi ila inategemea na aina ya biashara na mahali (location) ya biashara.
Kuna sehemu bidhaa fulani au wahitaji huduma fulani wapo wachache. Huwezi kwenda kufungua biashara nyingine mahali hapo hapo ambapo tayari mwenzio kafungua.
Lazima uwe na mpango kazi wa masoko.
Wote au mmojawapo ataishia kupata hasara au atachelewa maendeleo, hakui. kibiashara.
Pia kujenga brand yako muhimu kuliko kuiga brand za watu.
 
Huduma na pia.... siri ya biashara yoyote ni huduma na bidhaa. Tatizo la Tanzania wafanyabiashara wanaiga kila kitu... mpaka mabaya. Ukikuta biashara eh duka lina ''mtoto mkali'' anahudumia wateja, kwa nyodo na madharau, mwingine naye anaiga, anaweka mhudumu wa aina hiyo hiyo.
Kweli kabisa, watu hawalengi kutatua matatizo yaliyopo katika jamii husika pengine mifumo ya serikali za vichwa vyao vinashindwa kuchanga karata vizuri.
 
Cash points.. hii cash point sound bizarre, Sounds odd sema Kwa kuwa bongo tunapenda kukopy bila kuelewa .. na wateja hatuelewi basi ndo basi Tena ... Kutumia kama brand name .. it doesn't evoke any emotion /action -Trust, speed or security...

Cash point mostly for ATMs ila ndo zimejaa huku Mchambawima
Flani cash point ..



Juice Points..

Macjuice
Flani juice point
Mwanakangwa juice... Point
 
Back
Top Bottom