Huduma na pia.... siri ya biashara yoyote ni huduma na bidhaa. Tatizo la Tanzania wafanyabiashara wanaiga kila kitu... mpaka mabaya. Ukikuta biashara eh duka lina ''mtoto mkali'' anahudumia wateja, kwa nyodo na madharau, mwingine naye anaiga, anaweka mhudumu wa aina hiyo hiyo.