KHAMISsecret
Senior Member
- Sep 22, 2011
- 178
- 66
KWanza house girl tu mzungu sembuse hiyo takataka ndio imchanganye Samata?Mbwana samatta ata hawaz uo ujinga ulionao ww kichwan mwako! Anapigana kuimarsha kipaji chake tu uko ulaya aje ashughulishwe na muuza vinyago wa bongo apa ctarajiii, kama auna stor ya kupost u beter keep quite
Mwambie alete ushahidi huyo sura IST Na body ya Hummer.gigy aliyathibitisha hayo ktk kipindi cha weekend gossip tv1
ana bonge la takoooolady is overrated...sioni uzuri wake...chunga sana wale wanaopata ustaa kwa skendo wapo tayari kufanya chochote ili wawe wanajadiliwa....
Imebainika kuwa yule msakata kambumbu katika club ya Genk uko ubeligiji Mbwana Ally Samata alimuomba fumu muuza nyago na mjasirimali Gigy Money.
Gigy money amedai kuwa Samata alimtumia e.mail aende ubelgiji ili waspend pamoja na kula bata mpaka bata aseme bata ila gigy money alikataa na kudai et "Samata is not my cup of coffe" yaan samata sio type yake.
Ivyo kaka Samata akachezea za mbavu uku king kiba akiendelea kuchekecha kadri awezavyo mpaka kukinai
haha hili inzi kweli.. nadhani lilitumiwa email fake... linaamini email punguwani jike
Hili hili la kawaida sio lile lenye marinda maana mhMkuu jicho gani ilo unalolizungumzia?
Kafanywaje bhana
Hii nadhani ipulizie perfume inukie nitarudi kwahiyo ndo kakutuma au na wewe amekutumia e-mail??Imebainika kuwa yule msakata kambumbu katika club ya Genk uko ubeligiji Mbwana Ally Samata alimuomba fumu muuza nyago na mjasirimali Gigy Money.
Gigy money amedai kuwa Samata alimtumia e.mail aende ubelgiji ili waspend pamoja na kula bata mpaka bata aseme bata ila gigy money alikataa na kudai et "Samata is not my cup of coffe" yaan samata sio type yake.
Ivyo kaka Samata akachezea za mbavu uku king kiba akiendelea kuchekecha kadri awezavyo mpaka kukinai
Yerico yupo hoi,ile kesi ya kumsingizia Dr mihogo kaingiziwa mabilioni inamsumbua sana,amekosa hata muda wa kuhororoja mitandaoni
Hebu muulizeHv mkianza kushtakiwa kwa kuchafua majina ya watu mna hela ya kulipa....?