Tetesi: Samata achezea za mbavu kwa Gigy Money

Tetesi: Samata achezea za mbavu kwa Gigy Money

No comment naonatu ushetani hapo aliekuzaa ukuone na hichokinguo nyooo
 
Imebainika kuwa yule msakata kambumbu katika club ya Genk uko ubeligiji Mbwana Ally Samata alimuomba fumu muuza nyago na mjasirimali Gigy Money.
Gigy money amedai kuwa Samata alimtumia e.mail aende ubelgiji ili waspend pamoja na kula bata mpaka bata aseme bata ila gigy money alikataa na kudai et "Samata is not my cup of coffe" yaan samata sio type yake.
Ivyo kaka Samata akachezea za mbavu uku king kiba akiendelea kuchekecha kadri awezavyo mpaka kukinai
4da04a1e99dbbfcc5d98545ee7d40d2f.jpg
Gigy gig Money ana wowowo la hatari
 
kuna dada mmoja anajiita happy77....uko instagram yaani lika dakika anampost samatta
 
Back
Top Bottom