PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Acha ujinga wewe,nani kakwambia Chamazi ndo wamejaa wanaume wakuda?
Kwa taarifa yako wanaume wa ukweli hapa Dar wapo wilayani Temeke hususani Mbagala na hasa maeneo ya Chamazi.
Wanafiki wapo kwa wingi huko Ilala yote kuanzia mchikichini,boma mpaka sharif shamba. Pia kinondoni yote wanaume wa kule ni vibiriti ngoma na ndo maana panya road waliwatetemesha hadi kufikia hatua eti wanaume zaidi ya 10 kujificha chini ya Vitz na wakatosha.
I'm sorry bro, sirudii tena kuwatania wazee wa Chamazi. Viva Azam FC