chipolopolo 2
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 3,292
- 1,841
Hahaaaa umeonaeeeeWanaume wa Dar tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa umeonaeeeeWanaume wa Dar tena
yeriko tapeli dada ile habari ni feki alijificha akawaambia wenzake waandike ametekwa
Yericko amekuwa mpole siku hizi, hahaha, chezea serikali nini!
Mlete mkeo dar tukuoneshe shughuli yetu.. Kama hujakimbiwa..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaume kukazwa -dar
wanaume kupaka kutoboa masikio -dar
wanaume kiepe yai -dar
wanaume wambea, udaku, majungu -dar
wanaume midosho -dar
Hakika Dar imebakiwa na mifano ya wanaume..
Hahahahahahilo paja usiombe ulione live michiriz kibao, 360 bhana
Hahahaha 😀Huyo mpenda bodaboda na bajaji ambaye Hana hata passport akatae kwenda ulaya?