Samata asign mkataba Mpya hadi 2021

Samata asign mkataba Mpya hadi 2021

Rk10

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
1,216
Reaction score
1,372
Mchezaji maarufu hapa nchini ajulikanaye kama Samata a.k.a samagoal amesign mkataba mpaya ndani ya timu yake ya Genk huko ubelgiji
 
Mchezaji maarufu hapa nchini ajulikanaye kama Samata a.k.a samagoal amesign mkataba mpaya ndani ya timu yake ya Gank huko spain.
Kama ulidhamiria , wewe Ni bongolala.Kama haujui , nashauri tumia simu yako vizuri kubet.
 
Siku hizi ukidanganya tu dakika moja mbele unapata aibu
 

Attachments

  • Screenshot_20181222-180623_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20181222-180623_Samsung Internet.jpg
    134.1 KB · Views: 50
Ulaya siyo kama kwa Bibi yako huko Itigi mchezaji mkubwa kama Samatta Aki- sign mkataba lazima wa update within a seconds
Ukipunguza au kuacha ujuaji utanielewa na wakati mwingine ujuaji ugeuka kuwa ujinga.
 
Back
Top Bottom