Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na si gank ni genk na la pili sio timu ya spain ni ubelgijiMchezaji maarufu hapa nchini ajulikanaye kama Samata a.k.a samagoal amesign mkataba mpaya ndani ya timu yake ya Gank huko spain.
Kama ulidhamiria , wewe Ni bongolala.Kama haujui , nashauri tumia simu yako vizuri kubet.Mchezaji maarufu hapa nchini ajulikanaye kama Samata a.k.a samagoal amesign mkataba mpaya ndani ya timu yake ya Gank huko spain.
Umeshaambiwa kasainiwa na Gank ya uhispania[emoji3]vp zile timu za Uingereza
ahhaha hhahhHabari nzuri halafu mbaya.
acha niende gugo kuitafuta hiyo timuUmeshaambiwa kasainiwa na Gank ya uhispania[emoji3]
Mleta uzi ameshaandika vizuriacha niende gugo kuitafuta hiyo timu
Ulaya siyo kama kwa Bibi yako huko Itigi mchezaji mkubwa kama Samatta Aki- sign mkataba lazima wa update within a secondsAcha kukalili taarifa za kugoogle ndugu.
Hapo ndiyo basi tena, EPL hatoenda.Nilitegemea january anaenda EPL, umri ndio unaenda huo.
Kwani mikataba haivunjwi?Hapo ndiyo basi tena, EPL hatoenda.
Unajua hili ni jukwaa gani lakini?