Samata M. Vs Sigurdsson G.

sasa unaonge nn kati ndie mchezaji mwenye goli nyingi everton na ndie anaecheza no 10
Mkuu hapa siongelei ushabiki naongelea mpira.
Samatta ni number 9(hitman),na huyo mwengine ni numner10.
Halaf sigurdsson anacheza kma player maker kama sikosei msimu uliopita au mwaka juzi sigurdsson nae alikua katika mchezaji wenye assist.

Kwa maana hio ni vigumu kufananisha wachezaji hao wakati mmoja wao yuko kwenye game ngumu kwa kipindi kikubwa na anakua katika form mda wote huo.
 
hakika ni kweli japo ligi ya uingereza ni ngumu ila kwa everton pale atatikisa
 
sigurdsson kama angekuwa midflda active angekuwa na asisit za kumzidi samata but ana asist 1 tu sawa na samata
 
sigurdsson kama angekuwa midflda active angekuwa na asisit za kumzidi samata but ana asist 1 tu sawa na samata
Mkuu huo wako wew ushabiki sasa.
Unaijua sababu ya kuja hapo everton?

Na ulikua ukimuangalia huyo jamaa alipokua swansea?

Kma unayajua hayo basi wew kma mfuatiliaje mpira huwezi kuwalinganisha hao wachezaji wawili.
 
Well said, watanzania tunapenda sana kukuza vitu bila hata research. Samata. Mzuri kwa ligi yake lakini sio EPL . Ndio maana wapo watu wakali ligi zingine lakini wakienda EPL wanapata tabu Sana.
 
naomba unipe orodha ya timu nyingine zinazomuhitaji samata ukiachana na everton, nataka kujua sipo kwenye ubishani.
 
Sigurdson hajawai.kua no.9

No.9 everton ni hawa
Richarlson, calvert-lewin na Cenk tosan

Sigurdson ni no.10 kote everton na timu ya taifa ya iceland ,,tena moja ya no. 10 bora kabisa..
 
Well said, watanzania tunapenda sana kukuza vitu bila hata research. Samata. Mzuri kwa ligi yake lakini sio EPL . Ndio maana wapo watu wakali ligi zingine lakini wakienda EPL wanapata tabu Sana.
Kwahyo hata Europa ni ligi yake? kwa sasa samatta ni bora kuliko lukaku mara kumi nafasi anazokosaga lukaku pale united samatta hapotezagi nafasi hivyo.Samatta anajua njia za mpira anajua kukaa kwenye nafasi nzur timu ikiwa inashambulia ndio maana anatupia tuu hata akitua England lazima akatupie tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…