vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,624
Namaanisha dunhhua ni makkotko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekaa karibu na mwenye guo jeusi lenye picha ya Fuvu, that is Mbwana SamataNdio huyo mwenye nywele kiduku,mbona samata Ana sura ngumu huyo hapo Ana kasura kalaini
!!!!!!!!!!!?????????Namaanisha dunhhua ni makkotko
Kwani kitimoto ni sumu? Mbona huku kwa Tarimo kwa msuguri na forest tunapiga nao daily!Huyu kijana awe mwangalifu. Jamaa watamlisha kiti moto hivi hivi.
Wewe mpuuzi nani kasema kitimoto ni sumu? Acha kukurupuka.Kwani kitimoto ni sumu? Mbona huku kwa Tarimo kwa msuguri na forest tunapiga nao daily!
Wewe ndo mpuuzi kwelikweli,jibu kwa hoja siyo unaishia kutukana,mie nimeuliza kama kitimoto ni sumu,wewe unakuja na povu kibao ,anyway nakuheshimu vinginevyo ningekuita mgonjwa Wa akili.Wewe mpuuzi nani kasema kitimoto ni sumu? Acha kukurupuka.
Nimeshakuambia acha kukurupuka.Wewe ndo mpuuzi kwelikweli,jibu kwa hoja siyo unaishia kutukana,mie nimeuliza kama kitimoto ni sumu,wewe unakuja na povu kibao ,anyway nakuheshimu vinginevyo ningekuita mgonjwa Wa akili.
Namaanisha dunhhua ni makkotko
DUNIA NI MAPIYOO
Dah hili lidimu silibindi
Lisimu siliendi
Silipendi
Dunia ni majoto
Dah haya bana usiku mwembe
daaaah kweli touch hatari sana.Mwena