Samatta akila "bata" na mashabiki wa Genk

Yule kidosho wa mastaa atakuwa anamlia timing pindi akitia maguu bongo!! hahaha
 
Wewe mpuuzi nani kasema kitimoto ni sumu? Acha kukurupuka.
Wewe ndo mpuuzi kwelikweli,jibu kwa hoja siyo unaishia kutukana,mie nimeuliza kama kitimoto ni sumu,wewe unakuja na povu kibao ,anyway nakuheshimu vinginevyo ningekuita mgonjwa Wa akili.
 
Nimeshakuambia acha kukurupuka.
 
Back
Top Bottom