Samatta ana tatizo gani huko Uturuki?

Samatta ana tatizo gani huko Uturuki?

Kiwango cha samata sio cha kucheza premier league. Alitakiwa abaki Belgium. Kuhusu huko uturuki sijui
Nafikiri kuna jambo nyuma ya kushuka kiwango cha Samatta, huenda umri au athari za majeraha ya mara kwa mara. Kwakweli kiwango chake siku hizi ni kibovu mno, huwa nacheck gem za Fenerbahce naona aibu kama Mtanzania kwa kiwango kinachooneshwa na ndugu yetu! Naona ametolewa first eleven anaanzia benchi siku hizi! Tumuombee ni Mtanzania mwenzetu na amelipa heshima Taifa.
 
Hakuna mtanzania anayeweza kucheza mpira Europe ni kudanganyana tu humu. Wachezaji wa kitanzania ni wa kuchezea kwenye vyombo vya habari tu.

Ona sasa akina Simba wameshakuwa wanasiasa eti kutafutana na wabunge lini waliona vilabu vinaenda bungeni, kufanya nini!! Nonsense kabisa.

Tanzania is not a known footballing country.
Chuki Chuki Chuki Chuki...
Chuki inaua.
 
Nafikiri kuna jambo nyuma ya kushuka kiwango cha Samatta, huenda umri au athari za majeraha ya mara kwa mara. Kwakweli kiwango chake siku hizi ni kibovu mno, huwa nacheck gem za Fenerbahce naona aibu kama Mtanzania kwa kiwango kinachooneshwa na ndugu yetu! Naona ametolewa first eleven anaanzia benchi siku hizi! Tumuombee ni Mtanzania mwenzetu na amelipa heshima Taifa.
Dah! Tumuombee kwa kweli. Mimi ni mshabiki wake. Ila kwa sasa Samatta hamkuti hata yule mchezaji wetu wa Msumbiji tuliye nyang'anywa na wale wazee wa kuingia na mapaka uwanjani.

Yaani ukimkuta uwanjani anakimbia kimbia tu! Hana kabisa uwezo wa kukimbia na mpira hatua kadhaa, kuwapangua mabeki watatu wanne hivi!! Utadhani halipwi mshahara! Inahuzunisha sana.
 
Leo nimeangalia match yao na kaingia kama Sub. Dah inakatisha sana tamaa. Samatta kaisha kabisa sijui nini kimemkuta. Lakini hii imetokea baada ya kuoa tu. Alivyokuja kuoa na kurudi na mke baasi shughuli ikaisha. Inaonekana mbususu alikuwa haijui na baada ya kuoa akawa anachakata kwa 100%. Yaani Samatta kwa kikosi cha Simba atasubiri sana.
 
Hana namba kikosi cha Simba wachovu....hahaa
 
Leo nimeangalia match yao na kaingia kama Sub. Dah inakatisha sana tamaa. Samatta kaisha kabisa sijui nini kimemkuta. Lakini hii imetokea baada ya kuoa tu. Alivyokuja kuoa na kurudi na mke baasi shughuli ikaisha. Inaonekana mbususu alikuwa haijui na baada ya kuoa akawa anachakata kwa 100%. Yaani Samatta kwa kikosi cha Simba atasubiri sana.
Hapo kwemye mbususu Maake kwanza ncheke [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom