Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
- Thread starter
- #41
Nafikiri kuna jambo nyuma ya kushuka kiwango cha Samatta, huenda umri au athari za majeraha ya mara kwa mara. Kwakweli kiwango chake siku hizi ni kibovu mno, huwa nacheck gem za Fenerbahce naona aibu kama Mtanzania kwa kiwango kinachooneshwa na ndugu yetu! Naona ametolewa first eleven anaanzia benchi siku hizi! Tumuombee ni Mtanzania mwenzetu na amelipa heshima Taifa.Kiwango cha samata sio cha kucheza premier league. Alitakiwa abaki Belgium. Kuhusu huko uturuki sijui