Samatta anahitaji muongozo. Ona alichoandika

Naungana na mleta mada...Samata anatakiwa kuwa makini sana kwa kila anachofanya coz sasa yupo kwenye "spotlight"

Alafu tusifananishe ulimwengu wa Wasanii wa muziki na filamu wa marekani na tasnia ya mpira...wale wasanii wengi wanajitegemea lakini kwenye mpira unahitaji timu na timu ina wadhamini nyuma yake so kosa dogo tu wao (wadhamini/FIFA) hutumia kama fimbo.

Neno NIGGER sio neno rasmi bila kujali linatumikaje na wasanii wa muziki au filamu.

Pia mkumbuke FIFA kauli mbiu yao kuu ni kupinga ubaguzi michezoni.
 
Reactions: kui
I got Gucci ma nigga,
And Louie ma killer...
And Drug ma dealer..#KanyeMagharibi.
Usishangae favourite rapper na role model wa samatta ni 2pac au King Zilla..
 
Kwanza kumbuka FIFA wanatambua hilo jina kama tusi/ubaguzi...so bila kujali nyie mlio nje mnalitamka mara ngapi lakini yeye aliye kwenye "ulingo" wa FIFA sio sawa na nyie.

Pili tusidhani kuwa kwa kuwa tu sisi weusi tunapenda kutumia kuitana sisi, basi na Wasio weusi wanaridhia hilo, la hasha.

Wazungu wengi hawapendezwi na tabia ya Weusi kutumia neno Nigger dhidi yao ili hali wao hawataki kuitwa hivyo na wale wasio weusi.

Wazungu wengi huwaona weusi kama maselfish na wabaguzi namba moja pale mnapodhani kuwa ni ufahari kufanya/kutamka jina ambalo yeye (Mzungu) haruhusiwi kutamka, na akitamka tu mnaanza kulalama kuwa mmebaguliwa.

Wazungu wengi wanasema kama hamtaki kuitwa Niggers basi na nyie muache kulitumia.
 
Reactions: kui
Ni dhahiri anahitaji mwongozo/ushauri haraka iwezekanavyo. Pana uwezekano mkubwa hajui maana ya neno nigger
 
Bado anadhani hiyo page yake inatembelewa na niggaz wenzie wa Tanzania na wale wa Kongo tu.

Ni muda wa meneja wake kumtafutia mtu atakayekuwa anasimamia interaction yake katika social media,hilo neno ni jepesi sana tulitumiapo wenyewe kwa wenyewe lakini mara nyingi ukilitumia mbele ya watu wenye race tofauti linatoa taswira hasi kwako.

Kamwe tusiwaige wale wajukuu wa watumwa walio Ulaya na Amerika katika hili sababu historia waliyoipitia ni tofauti na sisi.
 
Wabongo mshaanza Mambo yenu huyu hakwenda kubeba BOX kaenda kupiga BALL, mshaanza acheni mambo yenu.
 


Again, we go back to the context. The word Nigga is not racist, if it's used among Niggas. Rappers popularized the word, to kill it from being used against the race. When used among Niggas it has a lot of meanings. Tupac's Nigga stood for Never Ignorant Getting Goals Accomplished. So we could argue Sama meant that as well.

About FIFA against racism in sport. Let alone the fact that Sama used the term on his friend, did he use it on any sport event under FIFA? No.

I don't think FIFA have any jurisdiction over players' personal lives.

Didn't Neymar and Co. introduced a banana eating movement on the social network after Dani Alves was thrown one during a game?

The man did nothing wrong. I'd be his lawyer if necessary.
 
Ni ka neno "mchizi wangu" sa ukitafsiri kwa maana ya chizi ni juu yako.
 
Mkuu chige,pongezi sana kwako kwa uandishi wako mzuri sana.
Hakika wewe ungekuwa mwalimu bora sana kama ungekuwa mwalimu.
 
Kwanza kumbuka FIFA wanatambua hilo jina kama tusi/ubaguzi...so bila kujali nyie mlio nje mnalitamka mara ngapi lakini yeye aliye kwenye "ulingo" wa FIFA sio sawa na nyie.
Endapo ungenisoma kwa vituo ungegundua kwamba hilo tayari nilishaweka wazi:
So, hata hao Wabelgiji nao wanafajamu kwamba Samatta kumuita Ulimwengu Nigga wala sio tiketi ya wao nao kumuita Samatta Nigga!
Pili tusidhani kuwa kwa kuwa tu sisi weusi tunapenda kutumia kuitana sisi, basi na Wasio weusi wanaridhia hilo, la hasha.
Sidhani kama kuna mtu amesema sisi weusi tunapenda! Hoja ni kwamba; kwanza ni muktadha wa maneno yanayotumika na nani anatumia dhidi ya nani! Nikatolea mfano neno "mse'nge" ambalo ni very offensive lakini bado wenyewe kwa wenyewe tunaitana "mse'nge" but NOT from offensive perception! Na nikaweka wazi kabisa kwamba na mara nyingi inatumika baina ya watu ambao wapo karibu ile mbaya; washikaji! Lakini bado hiyo haimaanishi kwamba tunapenda kutumia hilo neno-- context/muktadha na nani unaongea nae! Mimi nikikutana na wewe leo hii hata kama nitakuwa excited/amazed/surprised or whatever you may call; bado sitakuwa na ujasiri wa kutumia hilo neno kwako!
Mzungu mwenye mawazo kama hayo atakuwa ni mpuuzi manake katika jamii yoyote ile hilo ni jambo la kawaida! Si kila neno nitakalomuita demu wangu na wewe uwe na haki ya kulitumia! Kwa mfano mie nimeshazoea washikaji zangu huwa nawaita dogo ingawaje wote wana wake na watoto na wao wanaona poa tu kv hata wao huwa wananiita dogo! Sasa akija mtu akaniita dogo halafu nikamchenjia kisha akasema yule jamaa mbona anakuita dogo halafu poa tu; huyo mtu atapaswa akapimwe akili!
 
Mkuu chige,pongezi sana kwako kwa uandishi wako mzuri sana.
Hakika wewe ungekuwa mwalimu bora sana kama ungekuwa mwalimu.
Hahaa! Ahsante Mkuu kwa Compliment! Nazihesabu hizi compliments na zikitimia 5 tu naenda kudaka nafasi ya teaching fasta manake kumbukumbu zangu zinanionesha ama bado 1 au 2 kutimia!!
 
Hahaa! Ahsante Mkuu kwa Compliment! Nazihesabu hizi compliments na zikitimia 5 tu naenda kudaka nafasi ya teaching fasta manake kumbukumbu zangu zinanionesha ama bado 1 au 2 kutimia!!
Ningefurahi sana kama watoto wangu wangefundishwa na Mwalimu chige.
 
spotlight yake ni kubwa,ana followers wengi nje ya congo na tz,wataanza kumpima akili yake kwa maneno ya kijinga kama hayo kwenye post zake..hivi ikatokea siku akapost labda, me and ma niggers and our bitches hanging out...mtashangilia kwa sababu hajamtukana mtu????
club inaweza ikampotezea kwenye hili lakini asipokuwa careful na uchaguzi wa maneno kwenye social media itamletea matatizo tu siku moja..tunakosoa sababu tunampenda na tunataka afike mbali maaana kuna mmoja hapo juu kasema tumuache sababu hajaenda kubeba box...yes,angekuwa mbeba box kama@Nyaningabu ambaye kila siku yeye na lemutuz wanaita NIGGERS hakuna ambaye angejali,shauri zao na U NEGRO,U NIGGER,U NICCAH WAO,who cares lakini hapa tunaongelea mtu ambaye juzijuzi alikuwa anagmbewa hadi na olympic marseille
apunguze utoto,Europe inamuangalia akiendelea na swaga za NIGGa,NEGRO hata makampuni yataogopa ku mu endorse
 
Reactions: kui
Kumwita mwenzake nigga sio tatizo. Tatizo litaanza hao weupe wakianza kumuita Nigga. Ambao wapo close na hata wasio close na Samatta. Na bora angekua yupo US at least kule wana uelewa zaidi wa kutotumia hilo neno sababu that's a sensitive issue to them lakini sio kwa Europeans. Halafu muanze kusema watu wana ubaguzi kumbe njia ametengeneza Samatta mweyewe.
 
huyu angekuwa EPL club yake ingempa warning kwa kweli,UK wanajitahidi ku to tolerate haya mambo kwenye michezo..unakumbuka issue ya Antonio Ferdinand and Rio ferdinand vs John Terry???RIO alitweet akimshutumu ashley cole kwa kuwa side ya Terry na akamuita CHOC ICE(chocolate ice)akimaanisha mtu mweusi anaye act uzungu.FA walimpiga fine RIO hata kama alisemea kwenye twitter na against a blackman mwenzake
It's high time sasa samatta aanze ku act kama professional footballer when it comes to social media,wenzake wengine mpaka wameajiri watu kwa kazi hiyo.
 


...and a good Lawyer you will be!

True, the man didn't do anything wrong.
And the statement about FIFA not to have any jurisdiction over players's personal lives,..spot on!

I think it's A okay when WE, use it as a motivation among ourselves, but it just don't sit well with the majority so why should someone be controversial? We're talking about a star.
One thing we need to remember is that, right now Samatta's looked at as a role model to many kids out there and may be some of them (who love sport) would like to be like him one day and also, some companies might want to endorse him and use him in that manner. So I think it's a smart thing to watch what he says and every move he makes, as most eyes are on him.
 


The thing is, it's only few thick mindeds who seem to be bothered. That word is highly used all over. In big budget movies, A-rated rapstars, you name it.

When Obama was running for the office, he declared his love for Jay-Z's music publicly. Now Jay is one among many who can't spit bars without the F, N, or B words. But Obama and his team couldn't see no harm in endorsing all that.

I don't get why people are freaking out. Whoever had plans of endorsing Sama, but gon' pull out cause the man used words that don't please them, that's their loss, not his. All Samatta has to do is deliver on the pitch, the rest is bs.
 
Reactions: kui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…