FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
Naungana na mleta mada...Samata anatakiwa kuwa makini sana kwa kila anachofanya coz sasa yupo kwenye "spotlight"
Alafu tusifananishe ulimwengu wa Wasanii wa muziki na filamu wa marekani na tasnia ya mpira...wale wasanii wengi wanajitegemea lakini kwenye mpira unahitaji timu na timu ina wadhamini nyuma yake so kosa dogo tu wao (wadhamini/FIFA) hutumia kama fimbo.
Neno NIGGER sio neno rasmi bila kujali linatumikaje na wasanii wa muziki au filamu.
Pia mkumbuke FIFA kauli mbiu yao kuu ni kupinga ubaguzi michezoni.