Samatta anahitaji muongozo. Ona alichoandika

Dah! Mleta mada ndio unahitaji muongozo. Jamaa hakuna alichokosea kwa namna yoyote hapo.
You know what man, nakubalina na maelezo yako kwa asilimia kubwa sana lakini kama alivyosema Paulo Sergio De Souz, issue sio neno bali context! Hakuna neno baya la Kiswahili kama "mse'nge" lakini wenyewe kwa wenyewe kila wakati huwa tunaambiana "dah, we jamaa mse'nge; sikuwezi....!" yaani neno lile lile la kuchukiza na kukarahisha linageuka kuwa kivumishi depending na context na wanaombiana hivyo ni watu wa karibu! Hata huko US, black kwa black kuitana nigga isn't an offense tatizo linakuja pale White anapomuita black Nigga, especially kama sio washikaji! Humu JF ni kawaida sana mtu kuandika "Watanzania ni mazombie, mabwege, waoga n.k" lakini hatuwezi kuruhu mtu wa taifa lingine atumie maneno hayo hayo dhidi yetu-- tutamshukia! So, hata hao Wabelgiji nao wanafajamu kwamba Samatta kumuita Ulimwengu Nigga wala sio tiketi ya wao nao kumuita Samatta Nigga!
I second y'all,Maatope soma sana upate ufahamu,Chige ameeleza vizuri,mtu mweusi kumuita mtu mweusi mwenzake tena wa karibu nigga si matusi,I''ll die for my nigga,this is my nikka ,neno Hilo mzungu akimwita mweusi hapo ni shida tena sana,tofautisha neno bitch na nigga,bitch ni 100% ni Tusi in either way vyovyote vile ni Tusi,ukiona kwenye nyimbo wanaita bitch au mwanamziki anaita mwanamke bitch basi ujue sio mpenzi wake Bali ni Hoe,hooker unless aweke kivumishi "I'll be ur Down ass bitch- Ashanti" Wanawake wenyewe wakiitana bitch Haina tatizo that means friend.....
 
thumbz up nigga
 
Ambao mnaona hajakosea....ngoja aanze kuitwa nigga huko ubeligiji kama hamjasema anabaguliwa....

Stay tuned
 
You know what man, nakubalina na maelezo yako kwa asilimia kubwa sana lakini kama alivyosema Paulo Sergio De Souz, issue sio neno bali context! Hakuna neno baya la Kiswahili kama "mse'nge" lakini wenyewe kwa wenyewe kila wakati huwa tunaambiana "dah, we jamaa mse'nge; sikuwezi....!" yaani neno lile lile la kuchukiza na kukarahisha linageuka kuwa kivumishi depending na context na wanaombiana hivyo ni watu wa karibu! Hata huko US, black kwa black kuitana nigga isn't an offense tatizo linakuja pale White anapomuita black Nigga, especially kama sio washikaji! Humu JF ni kawaida sana mtu kuandika "Watanzania ni mazombie, mabwege, waoga n.k" lakini hatuwezi kuruhu mtu wa taifa lingine atumie maneno hayo hayo dhidi yetu-- tutamshukia! So, hata hao Wabelgiji nao wanafajamu kwamba Samatta kumuita Ulimwengu Nigga wala sio tiketi ya wao nao kumuita Samatta Nigga!

Well explained, Chief.

Kwa kumuongezea mfano, atafute movie ya Training Day. Alonzo anatumia 'My(Ma) Nigga' expression kama compliment kwa mshkaji, wakati mwingine aliitumia(sarcastically) kama warning flani hivi.
 
I second y'all,Maatope soma sana upate ufahamu,Chige ameeleza vizuri,mtu mweusi kumuita mtu mweusi mwenzake tena wa karibu nigga si matusi,I''ll die for my nigga,this is my nikka ,neno Hilo mzungu akimwita mweusi hapo ni shida tena sana,tofautisha neno bitch na nigga,bitch ni 100% ni Tusi in either way vyovyote vile ni Tusi,ukiona kwenye nyimbo wanaita bitch au mwanamziki anaita mwanamke bitch basi ujue sio mpenzi wake Bali ni Hoe,hooker unless aweke kivumishi "I'll be ur Down ass bitch- Ashanti" Wanawake wenyewe wakiitana bitch Haina tatizo that means friend.....

Hakuna neno baya wala la kukera, mazingira na muktadha ndivyo vinavyoamua.

You can use any word, as long as your context is checked. "Son of a b!tch" could be used as an expression of admiration/compliment, or an insult, depending on the context.

Jay-Z kwenye Public Service Announcement, kuna line anasema I got the hottest b!tch(Beyonce) in the game, wearing my chain/. The Game kwenye Let's Ride anampa shout-out E v E as his G-b!tch. It's all about context, and who's involved as well.
 
Niggers with attitude...NWA!
Fuata yako acha kijana apige soka
 
No problem.. If it comes from one black brotha to the other... You feel me my nigga!?!?
Lakini ikisemwa na mtu wa pink then we gon have a problem.
 
Hata Mazafanta inaweza isiwe Tusi inategemea linatumika wapi ,refer 50 cent I'm the mazafanta pimp.
 
You can take samatta out of getto but you cant take getto out of samatta-hitta
 
Hey Niggaz

Calm down Niggaz

Niggaz Niggaz Niggaz Niggaz
 
Coming from you, that's a compliment.

Heheh!, umenchekesha!

Lakini nieleweshe kidogo, ukisema inategemea na mazingira na muktadha kutumia the N word, don't you think there's a contradiction? cos yes, it's okay for Samatta to use it since he's black but, rappers use it and it's expected ftom them because that's how they (roll)...lol! (nami najaribu) and so it's totally cool for them to use it.

But with Samatta, as maatope said, we're talking about FIFA, whom are fighting racism to begin with. I think hata the NFL or NBA wouldn't encourage any of their players to use the word randomly. Wakirushiwa ndizi kiwanjani au kuitwa hivyo tunalalama.
Kwa level aliyofika Samatta, it'll be good if he drops it at some point. (Especially kutumia in public)
It's not a pleasant word altogether.
 
yeye kutumia hilo neno la nigga kwenye page ya instagram sijui anaona sawa,wakati ndo keshaingia kwa watu ambao asihangae siku moja wakalitumia akiwa uwanjani,meneja wake amuambie a edit,aandike to friend au pal.

View attachment 320040
No harm; ni nick name tu; yeye na Thomas wanajua sababu ya kuitana hivyo; usilikuze buure!
 
Neno Nigger atakutana nalo sana huko ulaya kiasi kwamba baadae litamkera zaidi kuliko kupenda kulitumia kwa kumtaja rafiki yake wa karibu.Kukereka huko kunatokana na matumizi ya neno hilo kwa wenyeji wa nchi za ulaya kama kejeli zaidi kuliko maana yake halisi.Neno hilo liko ulaya yote katika kila lugha zilizopo.Mf Sweden= Svarta,Poland=Czarnuch,Spanish=Negro, England/USA=Black,France=Noir;sobre;obscur.Maana halisi ya neno hilo ni kitu au mtu chenye/mwenye rangi ya kufifia au nyeusi ukitofautisha na rangi zingine.Tatizo linaanza pale matumizi yake yanapoaanza kuhusishwa na tabia za kibaguzi maana ukilisikia kwa muda mrefu linatia maudhi na kusababisha kuhamaki.
 
  • Thanks
Reactions: kui
wote mnaotetea hapa mnamiss point kubwa sana,unadhani sielewi maana ya hilo neno?actually lilitumika kibaguzi lakini negro in spannish means black sasa tatizo ni kwamba hilo N word hata FIFA wanahangaika kulipiga vita,ku kick racism out na yeye tena akiwa na followers wengi wabelgiji keshalitumia kwenye ista,naku assure ataambiwa na mtu mwenye akili a edit au afute post by kesho
kwa akili zenu hata siku akiweka picha ya demu wake akaandika my pretty BITCH mtashangilia ....mnasikiliza sana hiphop songs...kha
kwani hauna jina hadi huitwe neggro?

swissme
 
Back
Top Bottom