Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo

Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Snapinsta.app_461769460_18466480579047601_5423783969884635079_n_1080.jpg

Kikosi cha Timu ya Taifa "Taifa Stars" kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo Oktoba 10, 2024 na Oktoba 15, 2024.

Pia soma:
~
Samatta, Msuva watupwa nje kikosi cha Taifa Stars kufuzu afcon 2025
~ DR Congo 0 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024
 
Samatta mnamchukulia kikawaida Sana. Lakini hao wachezaji wenu wote mnaowasifia, hakuna hata mmoja wao aliyewahi kufikia viwango na hadhi yake.

Mpeni heshima yake.
Uwanjani sio museum. Kama ni swala la kumpa mchezaji heshima basi hata Mrisho Ngasa naye aanze kikosi cha kwanza.

Unataka tuishi kwenye historia kisa eti heshima ya Samatta. Na heshima ya Taifa Stars je.
 
Back
Top Bottom