NitomokoJr
Member
- Aug 31, 2014
- 21
- 12
Nadhani wenzetu wasimamizi wa soka ama wanashindwa kuona vyema, kama unamrejesha Samagoal na kumuacha Msuva lazima kuna jambo si la kawaidaPengo naliona kwa Msuva tu alistahiki kujumuishwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani wenzetu wasimamizi wa soka ama wanashindwa kuona vyema, kama unamrejesha Samagoal na kumuacha Msuva lazima kuna jambo si la kawaidaPengo naliona kwa Msuva tu alistahiki kujumuishwa
Hizi Sasa ni fitina....Alijua Tanzania itafungwa cha ajabu haijapoteza hata mechi moja tangia aache kuitwa national team.
Najua yupo uarabuni ndo sikufuatilia huko ila PAOK alichemka vibaya,je uarabuni anafanya vizuri?Dogo unamfuatilia Samatta kweli? Maana kwa sasa HAYUPO PAOK.
Li Mayele litatuwekaHuyo jamaa ni mtalii tu hakuna kitu atafanya.
hizi takwimu umezipata wali?Hizi Sasa ni fitina....
Samatta ndiye mchezaji bora namba moja Toka Tanzania. Wachezaji wote waliopo Tanzania na nje ya Tanzania hakuna anayemfikia ubora.
Thamani yake Kwa Sasa ni sawa na Euro milioni Moja na laki tano (150,500,000) sawa na shilingi 4,519,499,250 na alipokuwa katika ubora wale thamani yake ilifika hadi €milioni 12 sawa na Shilingi za kitanzania 36,155,994,000.
Samatta Kwa wachezaji wote wanaotambulika na vyama vya Mpira duniani waliozaliwa mwaka 1992 yeye anashikilia namba 172 kwa ubora.
Center forward wote walioko duniani kwa sasa Samatta ni namba 764 kwa ubora.
Samatta kati ya wachezaji wote walioko duniani yeye anashikilia namba 5,276 kwa ubora.
Samatta msimfananishe na kina Max Nzengeli ama Elie Mpanzu.
Hoja yako niliyopinga ilikaa kihistoria. Ulisema tunamkosea heshima, hukusema anastahili kuitwa.Hoja yangu ni kwamba Samatta Bado anastahili kuitwa.
Labda kutoboanaau kutobolewa..!
AmeshazeekaSamatta ni icon ya timu ya taifa, ni maestro, anacheza kwa kuforce na kuwapa hamasa wachezaji wengine kukiwasha na wapinzani wanacheza kwa tahadhari na kupunguza kujiamini. Si lazima afunge.
Binafsi nampongeza sana Morocco. It is more psychological, kama huna D mbili huwezi kuelewa umuhimu wa Samatta.
Bwana wee uhuni mtupu. Hapo alitakiwa awekwe metacha maana naona amekiwasha kweli kweli huko singida black starsAlly Salim kwenye timu yake ni chaguo namba tatu,ila timu ya taifa ni chaguo namba Moja🙄🙄🙄
msuva ndio wa kuitwa sio samata why? Bcoz samata hana match fitness yaani kwa kifupi kwenye club yake hachezi.Hoja yangu ni kwamba Samatta Bado anastahili kuitwa.
Umeongea hoja kubwa Sana....afanye mazoezi ya kuutumia mguu wa kulia pia.
MzeePengo naliona kwa Msuva tu alistahiki kujumuishwa
Bora wangemuweka msuva naonaga anajituma sana.
Kikosi cha Timu ya Taifa "Taifa Stars" kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo Oktoba 10, 2024 na Oktoba 15, 2024.
Pia soma ~ Samatta, Msuva watupwa nje kikosi cha Taifa Stars kufuzu afcon 2025
Umeandika pumba tu kwani huyo samata atacheza national team miaka yote Tanzania nzima hakuna wachezaji mchezaji kaomba kuachwa national team unamramba miguu arudi wape nafasi vijana wacheze kuna siku atastaafu tu.Hizi Sasa ni fitina....
Samatta ndiye mchezaji bora namba moja Toka Tanzania. Wachezaji wote waliopo Tanzania na nje ya Tanzania hakuna anayemfikia ubora.
Thamani yake Kwa Sasa ni sawa na Euro milioni Moja na laki tano (150,500,000) sawa na shilingi 4,519,499,250 na alipokuwa katika ubora wale thamani yake ilifika hadi €milioni 12 sawa na Shilingi za kitanzania 36,155,994,000.
Samatta Kwa wachezaji wote wanaotambulika na vyama vya Mpira duniani waliozaliwa mwaka 1992 yeye anashikilia namba 172 kwa ubora.
Center forward wote walioko duniani kwa sasa Samatta ni namba 764 kwa ubora.
Samatta kati ya wachezaji wote walioko duniani yeye anashikilia namba 5,276 kwa ubora.
Samatta msimfananishe na kina Max Nzengeli ama Elie Mpanzu.
Pumba zangu leteni mchezaji anayefanana na Samatta kwa viwango.Umeandika pumba tu kwani huyo samata atacheza national team miaka yote Tanzania nzima hakuna wachezaji mchezaji kaomba kuachwa national team unamramba miguu arudi wape nafasi vijana wacheze kuna siku atastaafu tu.
Sasa kila siku wanacheza Wazee kwenye national team na kwenye club hao vijana watapata experience lini ili wafanye vizuri national team nyie si ndio mlikuwa mnapiga kelele mzize asianze yanga wakati national team hakuna striker mpaka gamond akamkingia kifua.Pumba zangu leteni mchezaji anayefanana na Samatta kwa viwango.
Kwa kweli watanzania tunapenda sana kukataa kutumia akili zetu.
Wangeachana naye huyo ,kuendelea kumkumbatia ndiyo mnampa BICHWA ,hana tofauti na HASHEEM THABEET misifa ndiyo inawapoteza ,alifikia kiwango cha kucheza Aston Villa ,kwasasa amerudi mchangani.Samata wa nini? Hana impact yoyote sasa hivi, kwenye club yake ya PAOK hata kwenye sub hawekwi.
Samata hastahili kuitwa Taifa stars