Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo

Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo

Sasa kila siku wanacheza Wazee kwenye national team na kwenye club hao vijana watapata experience lini ili wafanye vizuri national team nyie si ndio mlikuwa mnapiga kelele mzize asianze yanga wakati national team hakuna striker mpaka gamond akamkingia kifua.
Kuitwa na kucheza ni mambo mawili tofauti. Lakini hoja iwe uwezo na si umri wake.
 
There is no substitute for experience hata akija akikaa benchi tu anaweza akaongeza kitu (unless ana attitude problem hivyo kupunguza morali, ila kama ni team player huenda akawa ni nyongeza hata asipocheza) Na ile ya kumuweka nje huenda ikamuongezea motisha (something to prove)
 
Back
Top Bottom