Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo

Msuva mtu wa maana sana anyway ata samata sio mbaya anajuwa sana kuforce.
 
Samatta mnamchukulia kikawaida Sana. Lakini hao wachezaji wenu wote mnaowasifia, hakuna hata mmoja wao aliyewahi kufikia viwango na hadhi yake.

Mpeni heshima yake.
Uwanjani sio museum. Kama ni swala la kumpa mchezaji heshima basi hata Mrisho Ngasa naye aanze kikosi cha kwanza.

Unataka tuishi kwenye historia kisa eti heshima ya Samatta. Na heshima ya Taifa Stars je.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…