Samatta atumia 130M kununua gari yake mpya

Wema sepetu fursa hii hujaiona?
Kama nawaona wadada wa mujini wanavo muwinda huyu kijana kwa uchu wa kuzitafuna pesa zake.ila nasikia dogo yupo makini sana.

hata likizo zake wakati anachezea mazembe alikuwa anakuja kimya kimya bila mbwembwe.kingine nasikia amejenga nyumba za kutosha huko kwao mbagara.hongera sana samatta
 
Jana nilitaka kuandika kitu kama hiki nikasema ngoja kwanza lazma atajitokeza wa kuniwakilisha kimawazo! kama ningeandika jana ningekuja kupigwa mitama ya shingo hapa!
jamaa kachezea nakoz. ila hata mimi naona nyekundu haijakaa poa. pia nimezoea mastaa huwa na 2 doors siyo 4 doors.
 
Mwanaume unanunuaje gari nyekundu.. angenunua nyeusi au nyeupe kama hiyo.. sio mbaya lakini
Unaweza kuta wewe Una miaka 27 na bado uko kwenu form four failure(Zero man)...umezoea endesha Vya baba na mama ndio maana hata anachokifanya mwanaume mwenzako unajenga hoja inayotokana na mawazo mgando(hoja hasi).....
 
Angepata hii color ingekua poa sana.




[emoji817]
 

Hahaa, hii Tanzania inazidi kusikitisha mana watu wengi mataahira kama wewe, halafu mtu kama wewe soon tunakusikia ni mbunge, lazima kweli mtaishia kununua ndege za bilions wkt hospital hamna chanjo kha! My poor Tanzania....wenye akili wamezikwa na akili zao.
Nakuuliza unanunua gari ya mil 130 huku una rent nyumba una akili timamu wewe?
 
Jana nilitaka kuandika kitu kama hiki nikasema ngoja kwanza lazma atajitokeza wa kuniwakilisha kimawazo! kama ningeandika jana ningekuja kupigwa mitama ya shingo hapa!
Haha Usiogope changamoto mkuu popote zipo, simamia unachokiamini, all in all kwangu gari nyekundu ni NO!
 
jamaa kachezea nakoz. ila hata mimi naona nyekundu haijakaa poa. pia nimezoea mastaa huwa na 2 doors siyo 4 doors.
Usijali mkuu hizo nakoz zao mbona hazinibadilishi msimamo wangu, nyekundu ni NO
 

Kuna kitu maishani kinaitwa VIPAUMBELE, hakiepukiki. Vipaumbele vyangu mimi sio lazima vifanane na vya kwako.
Siendelei kujadili nawewe maana umejiondolea uhalali wa kufanya mjadala na mimi kwa sababu unatumia lugha za matusi (mfano wapu.mbavu, mataahira n.k). Mimi si mtu wa aina hiyo. Jifunze kwanza kujadili sio kutoa matusi ndipo uje kwenye mjadala vinginevyo subiri kusikia kama ulivyotabiri hapo juu.
 
kwani nani kakuambia hajajijenga?? mbona wadau wa Temeke wanasema Ana majengo ya maana. Kwa maneno yako inaonyesha una stress za maisha, au una mipango mingi ila unashindwa kuifanikisha kutokana na UKATA, na haujawahi kushika pesa ndefu..Elewa Samata ana maendeleo kwao na ni-msiri sana.
 
Wajua lakini kwamba real pro football kaanzia TP Mazembe na sio Genk?Wajua pia kwamba mshahara aliokuwa anapata TP mazembe unapishana kidoooogo sana na anaochukua sasa Genk.Haya kalale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…