supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Big up kwako Samatta
Mafanikio yako yanatokana na juhudi zako. Vijana wengi watajifunza kutoka kwako
Mafanikio yako yanatokana na juhudi zako. Vijana wengi watajifunza kutoka kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lako jeusi liko wapi?Mwanaume unanunuaje gari nyekundu.. angenunua nyeusi au nyeupe kama hiyo.. sio mbaya lakini
mimi natembelea tz11 mkuu, vipi unataka pichaLako jeusi liko wapi?
Mwanaume unanunuaje gari nyekundu.. angenunua nyeusi au nyeupe kama hiyo.. sio mbaya lakini
La kwako jeusi JIPYA lipo wapi.!?Mwanaume unanunuaje gari nyekundu.. angenunua nyeusi au nyeupe kama hiyo.. sio mbaya lakini
Ukawa balaa. Mnapinga mpaka rangi ya gari?Mwanaume unanunuaje gari nyekundu.. angenunua nyeusi au nyeupe kama hiyo.. sio mbaya lakini
jibu lipo juu hapo mkuuLa kwako jeusi JIPYA lipo wapi.!?
hahahah duh umetisha mkuuUkawa balaa. Mnapinga mpaka rangi ya gari?
MhhhMwanaume unanunuaje gari nyekundu.. angenunua nyeusi au nyeupe kama hiyo.. sio mbaya lakini
Hiyo euro 35,600 analipwa kwa wiki au mwezi?
Watu mna majibu yapo tayari yani mtu unasubiriwa tu umwage pumba zako.you made my day.ha ha ha haungempa hiyo €35,600 kisha ukampangia hayo masharti ''uchwara''
Ndio ukome kuleta mawazo mavimavi!nyie hakunaga kupongeza ni mwendo wa kupinga tu as long as hicho kilichotokea kinauhusiano na mtanzania au tanzania!neno langu sio sheria, yalikuwa ni mawazo yangu tu.. hata mwisho nimeandika sio mbaya.. peace
hahah huwezi kuniprovoke mkuu, mimi sio mtu wa mchezomchezoNdio ukome kuleta mawazo mavimavi!nyie hakunaga kupongeza ni mwendo wa kupinga tu as long as hicho kilichotokea kinauhusiano na mtanzania au tanzania!
Kapuku's forums!Mwanaume unanunuaje gari nyekundu.. angenunua nyeusi au nyeupe kama hiyo.. sio mbaya lakini
yeah! yeah!Kapuku's forums!
Jifunze kuficha upuuzi wako mara moja mojayeah! yeah!
Mwanaume unanunuaje gari nyekundu.. angenunua nyeusi au nyeupe kama hiyo.. sio mbaya lakini