Samatta atumia 130M kununua gari yake mpya

Samatta atumia 130M kununua gari yake mpya

Wajua lakini kwamba real pro football kaanzia TP Mazembe na sio Genk?Wajua pia kwamba mshahara aliokuwa anapata TP mazembe unapishana kidoooogo sana na anaochukua sasa Genk.Haya kalale

Mbona hakununua gari ya milioni 100 wkt yuko huko tp mazembe kama mshahara ulipishana kidogo
 
kwani nani kakuambia hajajijenga?? mbona wadau wa Temeke wanasema Ana majengo ya maana. Kwa maneno yako inaonyesha una stress za maisha, au una mipango mingi ila unashindwa kuifanikisha kutokana na UKATA, na haujawahi kushika pesa ndefu..Elewa Samata ana maendeleo kwao na ni-msiri sana.

Lol, stress ya maisha ulinipa wewe?
Haya next time anunue ndege mpande ndie wafuta makalio yake.
 
Lol, stress ya maisha ulinipa wewe?
Haya next time anunue ndege mpande ndie wafuta makalio yake.
pole wewe maskini wa mali na mwenye a stress kubwa zaidi duniani, najua una mipango mingi sana ya maisha lakini huna pesa. Pole
 
Alivyokuwa tp mazembe alijenga nyumba...inaionekana una stress sana za maisha...pole sana

Mkiambiwa kweli mnadai watu wana stress za maisha lol, tz ya wa pu mba vu km wewe na wenzio hapo juu, kajisemea mkapa I support him kwa miguu na mikono yote.
 
xSamatta.jpg.pagespeed.ic.rTpXCEDMup.jpg


Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta ametumia kiasi cha milioni 130 kununua gari yake ya kwanza nchini Ubelgiji.
Gari hilo alilonunua mchezaji huyo ni Benz Cla220 Cdi AMG Sport 2016 ambayo gharama yake inadaiwa kuwa ni €46,680.

Samatta amechukua uamuzi huo baada ya kufanikiwa kupata leseni inayomruhusu kuendesha gari nchini humo baada ya kunyimwa miezi kadhaa iliyopita.

Inadaiwa kuwa mchezaji huyo analipwa kiasi cha €35,600 kutokana na mkataba wake wa kuichezea timu ya Genk ambao utamalizika mwaka 2020.

Kwa sasa Samatta ameonekana kuwa miongoni mwa wachezaji wa kutegemewa kwenye timu ya KRC Genk ambayo inashiriki kwenye michuano ya Europa League japo amekuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili akiuguza majeraha.
much re$pect kwake
 
130M unanunua gari wkt ukiipasua robo unapata gari latest nzuri, hivi kajenga kwao? Hapo usikute anaishi ktk studio apartment, akili za vijana wa leo.
Ana majumba sio nyuma na zote alijenga akiwa tp mazembe
Sasa hivi anasimamisha hekalu nahisi litakua limeshaisha
 
Alivyokuwa tp mazembe alijenga nyumba...inaionekana una stress sana za maisha...pole sana
Achana nae mkuu hajui kitu kuhusu samata
Hajui kama alijenga nyumba tatu na kununua gari tatu za maana moja milioni 80 moja milioni 50 na moja milioni 60
Nyumba aliyoijenga kwa milioni 400 akaibomoa na sasa anasimamisha bonge la hekalu
 
Achana nae mkuu hajui kitu kuhusu samata
Hajui kama alijenga nyumba tatu na kununua gari tatu za maana moja milioni 80 moja milioni 50 na moja milioni 60
Nyumba aliyoijenga kwa milioni 400 akaibomoa na sasa anasimamisha bonge la hekalu
Kuna watu kazi yao ni kudisi tu aisee nachukia sana hii tabia kila mtu anapenda vile anavyojisikia kuna watu wanapenda cheusi,wengine chekundu,wengine colourless, tuache hizo wandugu.
 
Back
Top Bottom