Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Acha kuharibu uzi wa watu.Tanzania mpya ya Magufuli kila goti litapigwa.
Marathon tumekuwa wa 5
Serengeti boys tumeshinda
Samata anazidi kutisha !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuharibu uzi wa watu.Tanzania mpya ya Magufuli kila goti litapigwa.
Marathon tumekuwa wa 5
Serengeti boys tumeshinda
Samata anazidi kutisha !!
Bado Azam na Wale waspain wanabishana bei!Jamani hivi yule mchezaji wa azam alienda Spain ameishia wapi?
31Agost....UVCCMTanzania mpya ya Magufuli kila goti litapigwa.
Marathon tumekuwa wa 5
Serengeti boys tumeshinda
Samata anazidi kutisha !!
Its trueTukiwa tunampongeza Samatta kwa kuiwakilisha vyema Tanzania, umefika wakati sasa wa tuwe wazalendo na kusifia na kutangaza zaidi vya kwetu. Ifike wakati sasa, hata kwenye magazeti ya michezo kama mwanaspoti, dimba n.k kuwe ni msimamo wa league kuu ya ubelgiji kuliko kuwa na EPL, Laliga nk pekee. Pia kuwe na top scorers wa ligi kuu wa ubelgiji ambapo mtanzania mwenzetu anatutangaza huko.
Nafikiri tuwaombe Mods waunganishe threads zote zinazomuhusu Samatta ili tuwe na thread moja,kama special thread hivi.Hongera sana Ali Samatta! Ila thread zimezidi mno kumpamba, kiasi kwamba wadau wanashindwa wachangie vipi, mfano; kuna thread nyingine imeanzishwa ya magoli to... sasa kwanini hayo magoli yasiambatanishwe na huu mjadala
Nafikiri tuwaombe Mods waunganishe threads zote zinazomuhusu Samatta ili tuwe na thread moja,kama special thread hivi.
Mods tafadhali fanyeni kazi hili ombi letu.
Mzee ningekutumia hela ya supu. Nakuunga mkono 100%Tukiwa tunampongeza Samatta kwa kuiwakilisha vyema Tanzania, umefika wakati sasa wa tuwe wazalendo na kusifia na kutangaza zaidi vya kwetu. Ifike wakati sasa, hata kwenye magazeti ya michezo kama mwanaspoti, dimba n.k kuwe ni msimamo wa league kuu ya ubelgiji kuliko kuwa na EPL, Laliga nk pekee. Pia kuwe na top scorers wa ligi kuu wa ubelgiji ambapo mtanzania mwenzetu anatutangaza huko.
Kufuta michezo mashuleni ni kuua vipajiTanzania mpya ya Magufuli kila goti litapigwa.
Marathon tumekuwa wa 5
Serengeti boys tumeshinda
Samata anazidi kutisha !!