Samatta azidi kutisha huko Belgium

Samatta azidi kutisha huko Belgium

Tukiwa tunampongeza Samatta kwa kuiwakilisha vyema Tanzania, umefika wakati sasa wa tuwe wazalendo na kusifia na kutangaza zaidi vya kwetu. Ifike wakati sasa, hata kwenye magazeti ya michezo kama mwanaspoti, dimba n.k kuwe ni msimamo wa league kuu ya ubelgiji kuliko kuwa na EPL, Laliga nk pekee. Pia kuwe na top scorers wa ligi kuu wa ubelgiji ambapo mtanzania mwenzetu anatutangaza huko.
 
Its true
 
Hongera sana Ali Samatta! Ila thread zimezidi mno kumpamba, kiasi kwamba wadau wanashindwa wachangie vipi, mfano; kuna thread nyingine imeanzishwa ya magoli to... sasa kwanini hayo magoli yasiambatanishwe na huu mjadala
Nafikiri tuwaombe Mods waunganishe threads zote zinazomuhusu Samatta ili tuwe na thread moja,kama special thread hivi.

Mods tafadhali fanyeni kazi hili ombi letu.
 
Katupiamo mbili, na one assist pia.

Sema hayo mambo ya kuanzisha Special Thread kwa ajili ya Samatta hatutaki, msitake kuleta uchawi hapa.
 
Tukiwa tunampongeza Samatta kwa kuiwakilisha vyema Tanzania, umefika wakati sasa wa tuwe wazalendo na kusifia na kutangaza zaidi vya kwetu. Ifike wakati sasa, hata kwenye magazeti ya michezo kama mwanaspoti, dimba n.k kuwe ni msimamo wa league kuu ya ubelgiji kuliko kuwa na EPL, Laliga nk pekee. Pia kuwe na top scorers wa ligi kuu wa ubelgiji ambapo mtanzania mwenzetu anatutangaza huko.
Mzee ningekutumia hela ya supu. Nakuunga mkono 100%
 
Tumsubiri sasa huyo Samatta kwenye group stage atafanyaje but hopeful atakimbiza vibaya halafu dirisha dogo January huyo EPL.
 
Back
Top Bottom