Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
mwache aende EPL akatengeneze pesa, mpira juhudi zako atapata namba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mo Sala alianzia Chelsea. Akaenda Italy na kurudi EPL na moto wake.Usimfundishe woga wa kitanzania.
Obi Mikel au Mo Salah wasingeenda kujaribu England.
Fortune favours the bold.
EPL kuna pesa zaidi. Aende hukoSiyo roho mbaya ila kama mdau wa mpira kuna foward za ukweli pale England (EPL) na Sammata hawezi kuwafikia mfano.
1.Callum Wilson
2.Dominic Solanke (21yrs)
3.Joshua King
4.Leandro Trossard (loan Genk) yaani alikosa namba Brighton Pale ila karudi
5.Tammy Abraham
6.Cenk Tosun
7.Ayoze Perez
8.Kelechi Ihenacho
9.Dwight Gayle
10.Gerard Delofeu
11.Troy Deeney
12.Andriy Yarmolenko
13.Adama Traore
14. Diego Jota
15. Ivan Cavaleiro.
Sijawataja kina Aurtonovic hapo na wale wa Championship kama Aleksandar Mitrović (mserbia huyu hapa unapata samatta 3) alaf 24yrs tuu.
Asikimbilie England embu acheze Uefa mpaka January aone upepo ukoje huko. Akiona anaendana nao then aende ila kama akienda now kama mnavyosema Leicester anaweza akakosa confidence alaf pale mastraika kibao hatapewa nafasi mara kibao watampa loan loan loan atastuka ana 34yrs free agent hata hao Genk hawamtaki tena. Mchezaji mzuri ila soka letu changa so tunamwona star.
Akienda Leicester atakaa bench mpaka makalio yataoza.Wewe jamaa sio kabisa.
Samatta ataenda Leicester city.
Haina ma forward wa kuwategemea Samata pale anaenda kujichukulia namba
Mnajidharau sana ndiyo maana hata alipochaguliwa kuwa mchezaji bora wa ndani ya Africa mliishia kusema kabahatisha , acheni kujidharau1. Ayoze Perez
2. Vardy
3.Ihenacho
4.Islam Slimani
5.Harvey Barnes (West Brom.Loan ana average ya 2.2 shots per game. Muingereza Under 21)
Nambie nani anaweza kuwekwa Bench. Slimani wa kawaida siyo? Samatta ni bonge la straika ila kwenye nchi ambayo haijui mpira. Akacheze luton
Kwani we Mungu?Akienda Leicester atakaa bench mpaka makalio yataoza.
Sina chuki naye.
Je!, unazijua AMRI ZA MUNGU?.Siyo roho mbaya ila kama mdau wa mpira kuna foward za ukweli pale England (EPL) na Sammata hawezi kuwafikia mfano.
1.Callum Wilson
2.Dominic Solanke (21yrs)
3.Joshua King
4.Leandro Trossard (loan Genk) yaani alikosa namba Brighton Pale ila karudi
5.Tammy Abraham
6.Cenk Tosun
7.Ayoze Perez
8.Kelechi Ihenacho
9.Dwight Gayle
10.Gerard Delofeu
11.Troy Deeney
12.Andriy Yarmolenko
13.Adama Traore
14. Diego Jota
15. Ivan Cavaleiro.
Sijawataja kina Aurtonovic hapo na wale wa Championship kama Aleksandar Mitrović (mserbia huyu hapa unapata samatta 3) alaf 24yrs tuu.
Asikimbilie England embu acheze Uefa mpaka January aone upepo ukoje huko. Akiona anaendana nao then aende ila kama akienda now kama mnavyosema Leicester anaweza akakosa confidence alaf pale mastraika kibao hatapewa nafasi mara kibao watampa loan loan loan atastuka ana 34yrs free agent hata hao Genk hawamtaki tena. Mchezaji mzuri ila soka letu changa so tunamwona star.
Haihitaji uwe Mungu kulijua jambo dogo kama hili!Kwani we Mungu?
👍Usimfundishe woga wa kitanzania.
Obi Mikel au Mo Salah wasingeenda kujaribu England.
Fortune favours the bold.
Watu wanatafuta hela siyo kutengeneza majinaSiyo roho mbaya ila kama mdau wa mpira kuna foward za ukweli pale England (EPL) na Sammata hawezi kuwafikia mfano.