Samatta baki Genk tengeneza jina pale

Samatta baki Genk tengeneza jina pale

Hupaswi Kukata Tamaa Ktk Kufikia Malengo Au Mafanikio Unayoyataman. Kisa Tu Walioko Mbele Yako Hutoweza Kuwafikia Na Ww Either Kuwa Kama Wao,, Huo Ni Woga Tunasema Waswahili. "WOGA WAKO NDO UMASKINI WAKO". WW pambana Songa Mbele, Zidi Kutia Bidii Ktk Mapambano, Ukianza Kwa Moyo Wa Kukata Tamaa, Ni Hakika Hata Bidii Hutoweka Na Utaishia Kufeli.
 
Usimfundishe woga wa kitanzania.
Obi Mikel au Mo Salah wasingeenda kujaribu England.

Fortune favours the bold.
Mo Sala alianzia Chelsea. Akaenda Italy na kurudi EPL na moto wake.
 
Siyo roho mbaya ila kama mdau wa mpira kuna foward za ukweli pale England (EPL) na Sammata hawezi kuwafikia mfano.

1.Callum Wilson
2.Dominic Solanke (21yrs)
3.Joshua King
4.Leandro Trossard (loan Genk) yaani alikosa namba Brighton Pale ila karudi
5.Tammy Abraham
6.Cenk Tosun
7.Ayoze Perez
8.Kelechi Ihenacho
9.Dwight Gayle
10.Gerard Delofeu
11.Troy Deeney
12.Andriy Yarmolenko
13.Adama Traore
14. Diego Jota
15. Ivan Cavaleiro.

Sijawataja kina Aurtonovic hapo na wale wa Championship kama Aleksandar Mitrović (mserbia huyu hapa unapata samatta 3) alaf 24yrs tuu.

Asikimbilie England embu acheze Uefa mpaka January aone upepo ukoje huko. Akiona anaendana nao then aende ila kama akienda now kama mnavyosema Leicester anaweza akakosa confidence alaf pale mastraika kibao hatapewa nafasi mara kibao watampa loan loan loan atastuka ana 34yrs free agent hata hao Genk hawamtaki tena. Mchezaji mzuri ila soka letu changa so tunamwona star.
EPL kuna pesa zaidi. Aende huko
 
Wewe jamaa sio kabisa.

Samatta ataenda Leicester city.
Haina ma forward wa kuwategemea Samata pale anaenda kujichukulia namba
Akienda Leicester atakaa bench mpaka makalio yataoza.
Sina chuki naye.
 
1. Ayoze Perez
2. Vardy
3.Ihenacho
4.Islam Slimani
5.Harvey Barnes (West Brom.Loan ana average ya 2.2 shots per game. Muingereza Under 21)
Nambie nani anaweza kuwekwa Bench. Slimani wa kawaida siyo? Samatta ni bonge la straika ila kwenye nchi ambayo haijui mpira. Akacheze luton
Mnajidharau sana ndiyo maana hata alipochaguliwa kuwa mchezaji bora wa ndani ya Africa mliishia kusema kabahatisha , acheni kujidharau
 
Siyo roho mbaya ila kama mdau wa mpira kuna foward za ukweli pale England (EPL) na Sammata hawezi kuwafikia mfano.

1.Callum Wilson
2.Dominic Solanke (21yrs)
3.Joshua King
4.Leandro Trossard (loan Genk) yaani alikosa namba Brighton Pale ila karudi
5.Tammy Abraham
6.Cenk Tosun
7.Ayoze Perez
8.Kelechi Ihenacho
9.Dwight Gayle
10.Gerard Delofeu
11.Troy Deeney
12.Andriy Yarmolenko
13.Adama Traore
14. Diego Jota
15. Ivan Cavaleiro.

Sijawataja kina Aurtonovic hapo na wale wa Championship kama Aleksandar Mitrović (mserbia huyu hapa unapata samatta 3) alaf 24yrs tuu.

Asikimbilie England embu acheze Uefa mpaka January aone upepo ukoje huko. Akiona anaendana nao then aende ila kama akienda now kama mnavyosema Leicester anaweza akakosa confidence alaf pale mastraika kibao hatapewa nafasi mara kibao watampa loan loan loan atastuka ana 34yrs free agent hata hao Genk hawamtaki tena. Mchezaji mzuri ila soka letu changa so tunamwona star.
Je!, unazijua AMRI ZA MUNGU?.
 
Watu wanatafuta hela siyo kutengeneza majina
 
Akienda leiciter city atapewa mkataba wa miaka 3 au 4, mpaka mkataba wake unaisha atakuwa na miaka 30 ambayo kimsingi uwezo utakuwa unaanza kupungua na uwezekano wa kusajiliwa na timu nyinfine utategemea na alivyi perform hapo epl. Sasa mnataka kumdanganya abaki Genk ili baadae arudi bongo na tuhela twa kuunga unga, acheni aende epl apige hela, hata mpira ukikataa tayari atakuwa na mkataba. Mkàtaba ukiisha anarudi bongo na mifedha yake kufanya biashara..
 
Back
Top Bottom