Samatta hana kiwango Cha kucheza EPL

Umenena vema saana mkuu!
 
Sure, na pia wataalamu wa mambo wanasema watu wanaotabilia negative issues huwa huombea au hushiriki kikamilifu katika kutengeneza matokeo hasi ili kuprove negativity zao. Basi usikute akienda ibadani anaombea flani asifanikiwe ili neno lake litimie
 
Ndio kaenda sasa......kila mmoja atafunga kamba za viatu vyake!!
 
Kwahiyo we unajua zaidi kushinda coach wa Aston villa na scout wao? We unataka vigezo gani ambayo unajua yupi anastahili kucheza Epl?

Yaan mtu hata game 1 ajacheza mnaanza umbea vp kama akifanya vzr zaidi utaongea nn siku za mbele ww?
 
Labda akacheze championship,
Kwa hiyo Aston Villa hawajaona mchezaji mwingine dunia nzima mpk wakamchukua asiye na kiwango cha kucheza EPL?

Halafu ili uwe na kiwango cha kucheza EPL unatakiwa uwe na pembe kichwani au uweje?

Mpeni muda, ndio tujue. Wabongo tuache uchawi. Kuwa mchawi sio lazima uwe na tunguri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye akili tulishaliona hili, premier League hakuna ujanja ujanja like ni kazi tu
 
Unasema je
Unasema je mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…